Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

Upiganaji wake hauwezi kupimwa na maswali yakuhusu maisha yake miaka 30 iliyopita, ila kwa maswali yanayohusu kilichomfanya awe shujaa wa taifa, ni maswali kuhusu ufisadi,

Wewe ya kwako binafsi unaweza kuyajibu hapa? Na usipoyajibu utakuwa what? I mean hatuijaishiwa hoja za taifa hapa JF,

Dr. slaa ni member kama wengine wote hapa kama inabidi awekwe kiti moto kuhusu maihsa yake ya binafsi basi itakuwa vyema wale wanayoyataka wakaanza kutuambia ya kwao kwanza tuone jinsi walivyo malaika, maana tunawajua karibu wote na maisha yenu suspect, haya anzeni sasa!

sidhani kama kuna tatizo hapa

Keshakuwa public figure ambaye pia alikuwa ni kiongozi wa kidini sasa whats the big deal watu wakitaka kujua maisha yake binafsi? Kama anakaa kwenye bunge kutunga sheria zinazowaathiri watu wakawaida na maishayao iweye eyey awe off limits?

Yaani iwe sawa JK kusemwa na private life ake lakini SLAA akisemwa ishakuwa nongwa?

acha hizo unakuwa kama jamaa wa Minnesota bwana
 
Sasa vipi kuhusu ile kauli mbiu "komkoma nyani giladi" or "we dare to speak openly" hazifanyikazi tena ktk mazingira haya?

hiyo ni kama ile ya yule Mama anayepiga makelele Bungeni kuhusu rushwa halafu usiku anashinda kwenye simu na wawekezaji wasieleweka toka Minnesota eti wanataka kuinvest Tanzania na haishi kungangania na yeye apewe percentage

kumkoma nyani giladi naona ni one way traffic
 
Yaani iwe sawa JK kusemwa na private life ake lakini SLAA akisemwa ishakuwa nongwa? acha hizo unakuwa kama jamaa wa Minnesota bwana

Jk ni rais wa jamhuri na sio member wa JF, Dr. slaa ni member wa JF hili sio bunge, vipi ukianza na habari za kwako kwanza, halafu ndio Dr. Slaa afuatie maana kama ni public hapa ni wapi mkuu sio public sasa kwa nini ukiwa member wa public hii unakuwa tofauti na member Dr. Slaa?

off course mimi sio NSSFF!
 
watu wa Minnesota hawajambo?
 
jr7k9h.jpg

hiyo ni kama ile ya yule Mama anayepiga makelele Bungeni kuhusu rushwa halafu usiku anashinda kwenye simu na wawekezaji wasieleweka toka Minnesota eti wanataka kuinvest Tanzania na haishi kungangania na yeye apewe percentage

Tayari amewasili DC juzi akifuatana na Naibu Spika, kwa mafunzo ya uongozi bora kwa muda miezi miwili, akimaliza ataenda Minnesota kumona mtoto wake ambaye yuko shuleni kule,

Na pia atapitia IOWA kuwafahamisha wafadhili wanaofadhili visima vya maji 30 jimboni mwake, jinsi mradi huo unavyoendelea, pia atakutana na kijana M-Tanzanaia toka jimboni kwake, ambaye ndiye hasa aliyewatafuta hao wafadhili na mmoja wa viongozi wakuu wa Obama's team katika Iowa..

Hakuna investors wa kutoka Minnesota mpaka East Same that is a big joke na ndio majungu yenyewe ambayo yametufikisha Tanzania sasa tunarudi nyuma badala ya wkenda mbele, ku-create ujinga ujinga na uongo uongo that is it, Mama hakuanza kwenda Minnesota leo, watoto wake wamekuwa huko for years, tafuta hoja nyingine mkuu thia is just wate of time!

2.
kumkoma nyani giladi naona ni one way traffic

Kumkoma nyani giladi ni kwa faida ya wananchi na taifa sio for nonesense!
 
Off course, mtoto wa Mama anaendelea vizuri sasa anamalizia shule soon ili arudi bongo kulijenga taifa letu, you got that one right!
Ndugu yangu i hope iwe ni kulijenga taifa kweli. Mimi sasa hivi nina mashaka sana na viongozi wetu hasa waliosoma majuu Chenge type ambao wanakwapua kwelikweli, inawezekana atakuja kulibomoa taifa, lakini naweza kuwa wrong. Leo naona kuna mambo fulani yananifanya nione Mrema mwenye elimu ya chini ni bora kuliko mafisadi wenye elimu kubwa.
 
Mkuu heshima mbele, eti JF tumeanza kuwahukumu mpaka raia wa kawaida wasiohusika na uongozi wa taifa, maana si itabidi hata sisi tujieleze tumelifanyia nini taifa, au?
 
JF kwa data! Ila tu tuangalie maana sisi wote ni wahalifu na kila mmoja wetu amewahi kufanya makosa mbalimbali katika maisha.

Muhimu ni kuangalia yanayotendeka sasa na sio kuangalia mambo ya miaka 20 nyuma. Ingelikuwa hivyo watu kama Clinton wasingeliweza kuwa marais USA. Pamoja na kuvuta bangi huko nyuma lakini bado jamaa aliifaa dunia.

Hata kama Dr. Slaa kuna vitu alifanya huko nyuma, bado mimi naona kwasasa yeye ni nafuu mno kuliko wabunge wetu wengi.

Mtanzani,

Hili litakuwa kosa kubwa. Ni sahihi kuchimba background za viongozi wetu, hata huko USA ulikotolea mfano si unaona akina Sarah Palin maisha yao yanavyopekuliwa mpaka uvunguni! Ni muhimu uelewe kuwa suala sio kufanya kosa, bali ni ku admitt na ku move on. David Cameroon kakubalia alikuwa anavuta Bangi so do Obama na bwimbwi.

Sasa Dr Slaa aje atoe ufafanuzi kama haya madai ni kweli au la! IS THAT TOO MUCH TO ASK?
 
Kama member yoyote hapa, anahitaji kutoa maelezo kuhusu maisha yake ya binafsi basi wote tujiunge kwa sababu wote ni members hapa kama Dr. Slaa au?

Pelin a US candidate for a veep Republican Party anything to do na Dr. Slaa a JF member? I am missing something or what?
 
FMES,

U r missing the whole point kwani JK ni member hapa? Lowasa? Karamagi? Chenge? etc mbona wanajadiliwa maisha yao binafsi? After-all huyu Slaa sio ndio tunataka awe Rais "mkombozi" wetu?
 
ahhahahahaaa are you?

2790.png
 
This is fresh kutoka NSSFF:-

1. coordination zinaendelea kwa siri kwani tunaendelea kukusanya info kama una la zaidi mcheki MKJJ

2. na tuna suspect wanaweza kuifunga hii forum tena kwani hawapendi kujadiliwa

3. lakini hilo lisikutishe kwani hakuna anayevunja sheria

4. napatikana hapa: @googlemail.com
 
Aaaand.....:-

after a careful look into myself nimeona bora ni apologise for somethings that i have said ato you online. Nadhani sisi wote ni watu wazima na saa zingine we get carried away. Next time kama kuna lolote i will consult you in private kwanza afterall i believe we are on the same side. Lakini kama ikihitajika tutumie hiyo tactic kama diversion pia nadhani itabidi tuwasiliane kwanza

Wasalaam
 
U r missing the whole point kwani JK ni member hapa? Lowasa? Karamagi? Chenge? etc mbona wanajadiliwa maisha yao binafsi? After-all huyu Slaa sio ndio tunataka awe Rais "mkombozi" wetu?

Dr. Slaa ni member wa JF, hao wengine sio members hapa, that is what you are missing kama member mmoja hapa anatakiwa kujibu maswali ya pesonal yake , basi tuwe wote, sasa sio vibaya na nyinyi mkaanza na zenu!
 
Mtanzani,

Hili litakuwa kosa kubwa. Ni sahihi kuchimba background za viongozi wetu, hata huko USA ulikotolea mfano si unaona akina Sarah Palin maisha yao yanavyopekuliwa mpaka uvunguni! Ni muhimu uelewe kuwa suala sio kufanya kosa, bali ni ku admitt na ku move on. David Cameroon kakubalia alikuwa anavuta Bangi so do Obama na bwimbwi.

Sasa Dr Slaa aje atoe ufafanuzi kama haya madai ni kweli au la! IS THAT TOO MUCH TO ASK?

Hana sababu ya kuja kujibu hoja za kubuni na zisizo na tija kwa taifa lake, na hata wewe unajua hizo ni fitina kutokana na msimamo wake dhidi ya ufisadi.Najua dhamira inakusuta,ila unatumikia kafri.
 
Dr. Slaa ni member wa JF, hao wengine sio members hapa, that is what you are missing kama member mmoja hapa anatakiwa kujibu maswali ya pesonal yake , basi tuwe wote, sasa sio vibaya na nyinyi mkaanza na zenu!

Kwa hiyo ukiwa memba hapa unakuwa na immunity ya kujadiliwa kwa sababu wewe ni memba sio? Iweje basi kulikuwa na mjadala mrefu wa Zitto na AC katika forum hii hii?
 
1.
Kwa hiyo ukiwa memba hapa unakuwa na immunity ya kujadiliwa kwa sababu wewe ni memba sio?

Masatu, you know better than this, Dr. Slaa ni member mwenzetu na si member kwa sababu ya ubunge wake, bali ni member kama mimi na wewe kwa sababu ya u-Tanzania wake,

JF hatuna sheria ya kuwalazimisha members kuzungumzia personal ishus zao, tunam-treat Dr. Slaa hapa kama mwananchi ni hiari yake na sio lazima ku-deal hapa na ishus za bunge,

Lakini kama inabidi aongelee his personal ishus, inapaswa kua a mandate kwa wote kwa sababu Masatu ni nani aliyekuambia kuwa hatutaki wewe uje kua rais wetu? Au members wengine hapa JF nani aliyesema kuwa hatutaki waje kwua marais wetu in the future kama hicho ni kisingizio cha kumfanya DR. Slaa aongelee his personal?

2.
Iweje basi kulikuwa na mjadala mrefu wa Zitto na AC katika forum hii hii?

Mjadala wa Marehemu Amina Chifupa, Mbunge na Zitto, Mbunge ukimjumuisha na Nchimbi, Mbunge you know better kwamba ulikuwa na facts nyingi sana zinazotuhusu taifa, ndio maana tulimshambulia sana Zitto, me included,

Nchimbi alimuandikia barua Mkulu wangu Med-Mpakanjia akimshitaki Amina mbunge, kuwa anatembea na mtu, hiyo barua ikaishia kuwa chanzo cha kutalikiwa kwa Amina na mumewe, huku Amina akiwa anatafuta kua mwenyekiti wa UV-CCM cheo cha Nchimbi, ghafla Amina akafariki I mean unaweza kul;inganisha hii ishu na what you guys are making out of Dr. Slaa?
 
Back
Top Bottom