Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Et umpe mumeoo khaaaa ndio akufurahiee weeee nani kasema wakafe hukoo na vinuno vyaooo
Thubuthuuuuu wakafie mbele huko atake nuna na anuneeeee
Et umpe mumeoo khaaaa ndio akufurahiee weeee nani kasema wakafe hukoo na vinuno vyaooo
Hata m najua, timbuloooo.com
shemeji shemeji nafu akafilie mbali kuliko kumpa mme.
halafu
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebraniab13:4
sema Dinazarde unajuaga kukunja ndita ukiamuaga kununa mmmh
huyo mume kiboko mpaka pressure zishaanza humu
na hawakawii he he sema neno nakupenda tamu balaa
Mm mgeni huku huwa naangalia mambo yanavyokwenda
Alaaaaaaaaaaaaa thubutuuuuu mume her labda nikamtoe photocopy niwapee wakajambe huko
nakupenda sana
Mambo ya Lamborghini na Vogue hahahaha.............
anazo kweli Junior. Cux
hayo kawaida sana my dear... vitu vizuri zaidi vitafata