Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Hahahahahha tobah ushaharibu hapo kwenye Cc Asprin

hahhaha unamuogopea nini babu Asprin... emh acha aje ashuhudie tukio takatifu...

ni kweli mkuu Mafikizolo mzee wachumvini takupoteza shauri yako

Nataka nimtunze mtoto huyo... mambo ya kupanda kuku hamna, kitu vogue au BMW lol!!!

ha ha ha hata tukiolewa hakina kizobo wala speed meter

ndo mana nakupenda... tutakua tunapasha siku moja moja mtani wako Mafikizolo asijue lakini

Huyu niwakumlia bati tu ngoja nimweke kapuni lahaullah!!

dear kwani kuna tatizo ikiwa mwezi huu... tunaenda dubai for honeymoon tukirudi tunawakata ulimi wambea
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa... Nisiongeze neno Dadangu.

Wanatania eti kwenye hilo geti kuna waenda kwa miguu, pikipiki, Rolls royce, Lamborghine hadi private jets kulingana na mtu alivyomtumikia malaika wa nuru .......Same DESTINATION but in different modes n types of transport. Mara unasikia hilo jet limemleta OSAMA chubwiii motoni... hilo benzi apo limemleta Kibwetere.. naye chubwiii!!!! Hio BOXER 200 ndio kaja nayo sijui nani nani Kimario!!!!! hahahahaaaa ... Niko barazani mwa mzaha (Am joking anyway!!!)

brodah! ................huyu atakuwa kwenye ile heaven ya yule mfalme wa anga na malkia wa mbingu. Ile mbingu ya watakatifu kwake ataiona kwa mbaliii sana.......

kwasababu Mungu ni wa kuheshimiwa sana barazan pa wenye mizaha.
 
Hahahaaaaaa... Nisiongeze neno Dadangu.

Wanatania eti kwenye hilo geti kuna waenda kwa miguu, pikipiki, Rolls royce, Lamborghine hadi private jets kulingana na mtu alivyomtumikia malaika wa nuru .......Same DESTINATION but in different modes n types of transport. Mara unasikia hilo jet limemleta OSAMA chubwiii motoni... hilo benzi apo limemleta Kibwetere.. naye chubwiii!!!! Hio BOXER 200 ndio kaja nayo sijui nani nani Kimario!!!!! hahahahaaaa ... Niko barazani mwa mzaha (Am joking anyway!!!)

mi nipo na GUTA to heaven
 
Mambo ya Lamborghini na Vogue hahahaha.............Nataka nimtunze mtoto huyo... mambo ya kupanda kuku hamna, kitu vogue au BMW lol!!!

Weee mkipasha tu lazima vigandiane..ndo mana nakupenda... tutakua tunapasha siku moja moja mtani wako Mafikizolo asijue lakini

Honeymoon Dubaieeee lol!dear kwani kuna tatizo ikiwa mwezi huu... tunaenda dubai for honeymoon tukirudi tunawakata ulimi wambea[/QUOTE]
 
Mambo ya Lamborghini na Vogue hahahaha.............Nataka nimtunze mtoto huyo... mambo ya kupanda kuku hamna, kitu vogue au BMW lol!!!

Weee mkipasha tu lazima vigandiane..ndo mana nakupenda... tutakua tunapasha siku moja moja mtani wako Mafikizolo asijue lakini

Honeymoon Dubaieeee lol!dear kwani kuna tatizo ikiwa mwezi huu... tunaenda dubai for honeymoon tukirudi tunawakata ulimi wambea
[/QUOTE]

anazo kweli Junior. Cux cux
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa huyu hata guta hana maana naona ana mbwembwe nyingi kama gauni laarusi
anazo kweli Junior. Cux cux[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom