Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
nimekuelewa
Hahahahahaha tabibumtaratibu ya kweli haya
ama lolote apo, kopo la chooni Ata iwe safi vipi, haliwezi kuwekwa kabatini'
Mwambie cux ye ni kopo tu...
REALITY hakuna mapenzi na njaa... Now days huna hela huna chakula .... Pesa muhimu jamanitunawapenda pia na pesa zenu tunazipenda zaidii hhhhaaaa miss chagga njoo
mi nampenda Heaven on Earth peke yake
Kwani na wewe una mume?
Tobaaaaah
ndo unamuogopa au?
sasa miss strong nikuitaje maana tumboo asione kitu ni mdhaifu ila wewe ni shem wa ukweli kwa .........
hehehhe sikuwezi.... unajua leo nimemuota huyo kwenye avatar yako, ni wewe kwani!!?
khaaa mwaka huu
Sio mimi umemuota anafanyajeee
Hahahah nimuogope wapi maneno yako tu ya shombo hahahaha
hahahaha huoni yakwake, et ananiita gate keeper