Hahahahahah ngoja ni mpe la karne Junior. Cux pokea busu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaahh.....!
Mume mtamu kuliko hata baba aliekuzaa asikuambiee mtuu
Anza kwa vitendo sio watokwa na povu tu hapa
Umeona eeeh. Mume habar nyingne ya mjn aisee
Mume mtamu kuliko hata baba aliekuzaa asikuambiee mtuu
aaah nimelipata nmelipata hiloooooo.... ukitoka kazini nambie nikupitie hapo twende ukachague shera la harusi love wangu
mmmh!!!!
Tunawapenda pia na pesa zenu tunazipenda zaidii hhhhaaaa miss chagga njoo
legeza kidogo hata tupate password ya benki si unajua huku saccos wameniweka most wanted
Eeee kwani baba anaweza kukupa utamu ( joke)
naona umeniita uku ili nione jinsi ambavyo unipendi, maana naona mpk mabusu ya krne humu...
naona umeniita uku ili nione jinsi ambavyo unipendi, maana naona mpk mabusu ya krne humu...
Huyu jamaa atakua gate-keeper... nasikia anauzoefu na hiyo kazi
Huyu jamaa atakua gate-keeper... nasikia anauzoefu na hiyo kazi
Miaka mia nane.... leta vyeti vyako nkutaftie kazi, huna uwezo wa kumiliki mzigo ule wewe