Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Last edited by a moderator:
kikosi cha saundi on its way be prepared
Weee Junior. Cux usinizibie milango tafadhali hahahahah sijaolewa mimi ati teh teh Dinazarde am not married mumy
hahaha mwaka huu ni kwere
Weee Junior. Cux usinizibie milango tafadhali hahahahah sijaolewa mimi ati teh teh Dinazarde am not married mumy
Naomba nimlete mshenga nyumbani... nitagharamia kila kitu, mwezi huu nioe kabisa!!! upweke umenishinda
Mwambiee we badoo kabisaaaaa
sio mchoyo wa mahaba ila utavyotoboka mpaka nakuonea huruma
Itabidi abaki kuwa shemeji... ntaenda kutobokea kwa Mafikizolo ....
Hehehehehehe heeeeeeeeeeeee!.............ndani ya mwenzi huu? weka mbali na watoto aseee
wewe yaani ulikua wataka ututobokee mimi na mtani wangu miss chagga
Tanzania imekamatwa katikati...huku wananchiw ake wanataka kuiga uzungu, lakini hakuna sera zilizo tayari kwa ajili ya kuhakikisha kuwa maigizo hayo hayatakiuka maadili (hata maadili ya uzungu wenyewe). Unachopuliza Mwanakijiji, nadhani kinakwenda mbele ya hapo au ni matokeo ya hizo sera kama zingekuwepo. Naamini kuwa ni kupitia katika sera za aina hiyo ndipo tunapoweza kuweka huo ulinzi juu ya watoto na taarifa kama hizo.
hahahah wasiwasi wa nini tena my dear, hamna kuchangishana ni kuita watu waje wale na kunywa!!! baba paroko pia atakuepo kuthibitisha. ..
cc: miss chagga, Asprin