Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Mambo ambayo watu hawayajui kwa undani na wanadanganyana:-

1. Kuna wachache wanaamini kuwa wale walinzi waliokuwa wakionekana enzi za Magufuli Ni wanyarwanda-

Si kweli wale Ni kikosi maalumu Cha VIP security toka TISS.

2. Watu baadhi wanaamini Rais hujipangia ulinzi- si kweli, Kuna timu maalumu toka TISS na Polisi ndiyo humpangia rais ulinzi wa kila siku kulingana na eneo anapozuru.

3. Watu baadhi kwa kutojua Mambo ya kiusalama wanaamini Rais akiwa na ulinzi mkali Basi ni mbaya kwa wananchi wake, na akiwa na ulinzi hafifu Ni ishara ya kupendwa na watu wote.

Halafu hao hao utakuta wanapongeza na kuvutiwa na ulinzi wa viongozi wa Magharibi na kwingineko ila huku hawataki kiongozi alindwe kikamilifu.

- Tutambue kuwa, Huwezi ukawafanya watu wote wakakupenda, ulinzi kwa kiongozi mkuu wa nchi lazima uimarishwe kwa kuwa hata Kama utapendwa na watu 99%, tayari ujue Kuna adui anayeunda 1% ya hatari kwako. Lazima ulinzi uwepo kuzuia hiyo 1% isilete madhara.

#Wapinzani wanafurahia Sana Mh. SSH kuongoza, wanasahau huyu ndiyo aliwaambia hata wakipiga kura kuikataa CCM lazima wao ( akina SSH) waende ikulu.

Nb. Tusiwe wajuaji wa kujadili tusivyovijua.
Yani asiyekuelewa na hapa kweli kazi tunayo hapo no 1 huwa wanadanganyana mno tukiwapa ufafanuzi bado tu.
 
Rais hachagui yeye ulinzi wake uweje, hama hiyo option, waliokua kwa JPM ndio hao hao wanapanga ya Samia....
Hakika na Mkuu Wa PSU Mpaka Sasa Ni Wambura ambae Ndio huyo² Alikuwa Mkuu Wa PSU Enzi Ya Hayati JPJM
 
Watanzania watu waajabu sn,samia leo aongezewe ulinzi kwa lipi alilofanya,? Ukiona unasifiwa sn na wapinzani wako,ujue lipo tatizo ktk utendaji wako
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Huyo mdada wa mkono wa kulia anaonekana MTAMU SANA, kuna mwenye namba zake jamani?
 
Mambo ambayo watu hawayajui kwa undani na wanadanganyana:-

1. Kuna wachache wanaamini kuwa wale walinzi waliokuwa wakionekana enzi za Magufuli Ni wanyarwanda-

Si kweli wale Ni kikosi maalumu Cha VIP security toka TISS.

2. Watu baadhi wanaamini Rais hujipangia ulinzi- si kweli, Kuna timu maalumu toka TISS na Polisi ndiyo humpangia rais ulinzi wa kila siku kulingana na eneo anapozuru.

3. Watu baadhi kwa kutojua Mambo ya kiusalama wanaamini Rais akiwa na ulinzi mkali Basi ni mbaya kwa wananchi wake, na akiwa na ulinzi hafifu Ni ishara ya kupendwa na watu wote.

Halafu hao hao utakuta wanapongeza na kuvutiwa na ulinzi wa viongozi wa Magharibi na kwingineko ila huku hawataki kiongozi alindwe kikamilifu.

- Tutambue kuwa, Huwezi ukawafanya watu wote wakakupenda, ulinzi kwa kiongozi mkuu wa nchi lazima uimarishwe kwa kuwa hata Kama utapendwa na watu 99%, tayari ujue Kuna adui anayeunda 1% ya hatari kwako. Lazima ulinzi uwepo kuzuia hiyo 1% isilete madhara.

#Wapinzani wanafurahia Sana Mh. SSH kuongoza, wanasahau huyu ndiyo aliwaambia hata wakipiga kura kuikataa CCM lazima wao ( akina SSH) waende ikulu.

Nb. Tusiwe wajuaji wa kujadili tusivyovijua.
Acha kudanganya ....watu , Magufuli alikiuka masharti kwa kuingiza ndugu zake ndani ya Usalama wa Taifa ...wakapelekwa crush program ..ndio wakawa walinzi ...wake , Pamoja na kuwa na mavifaa mengi na mibunduki ya ISRAEL , his details was the most incompetent
System ya TISS kuanzia Nyerere hadi sasa ....haitumii aina ya Ulinzi aliyokuwa aneipenda Magufuli kwakua ni aina ambayo sio rafiki kwa wananchi ..system ya Tanzania wanakua na askari makini wasio na makeke wenye mafunzo ya hali ya juu .............. na kunakua na kikosi cha reinforcement kwa umbali fulani [mfano ndani ya gari au sehemu ] ambacho kinakuwa standby na watajionyesha tu pale itakapodhibitika kuna haja ...hata nchi kubwa hufanya hivyo ..
Huu mfumo wa Mibunduki ameuiga Rwanda na Uganda sio wetu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Wenyewe tulishaazoea kuona wajeda warefuuuu wameshika mibunduki mikubwa. Afu ile itakuwa ilikuwa product ya kule pahala eti....!!
 
Mambo ambayo watu hawayajui kwa undani na wanadanganyana:-

1. Kuna wachache wanaamini kuwa wale walinzi waliokuwa wakionekana enzi za Magufuli Ni wanyarwanda-

Si kweli wale Ni kikosi maalumu Cha VIP security toka TISS.

2. Watu baadhi wanaamini Rais hujipangia ulinzi- si kweli, Kuna timu maalumu toka TISS na Polisi ndiyo humpangia rais ulinzi wa kila siku kulingana na eneo anapozuru.

3. Watu baadhi kwa kutojua Mambo ya kiusalama wanaamini Rais akiwa na ulinzi mkali Basi ni mbaya kwa wananchi wake, na akiwa na ulinzi hafifu Ni ishara ya kupendwa na watu wote.

Halafu hao hao utakuta wanapongeza na kuvutiwa na ulinzi wa viongozi wa Magharibi na kwingineko ila huku hawataki kiongozi alindwe kikamilifu.

- Tutambue kuwa, Huwezi ukawafanya watu wote wakakupenda, ulinzi kwa kiongozi mkuu wa nchi lazima uimarishwe kwa kuwa hata Kama utapendwa na watu 99%, tayari ujue Kuna adui anayeunda 1% ya hatari kwako. Lazima ulinzi uwepo kuzuia hiyo 1% isilete madhara.

#Wapinzani wanafurahia Sana Mh. SSH kuongoza, wanasahau huyu ndiyo aliwaambia hata wakipiga kura kuikataa CCM lazima wao ( akina SSH) waende ikulu.

Nb. Tusiwe wajuaji wa kujadili tusivyovijua.
Diktekta pamoja na ulinzi wake wa kukufuru alisahau kuweka ulinzi wa covid virus
 
Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema
Daraja la Busisi
Mkoa wa Chato, kufadhiliwa miradi lukuki
Reli ya SGR inayotoka Mwanza, bora Makamu naye akaelekeza Kigoma tuvuke Ziwa
 
Sijapenda neno "Dikteta" ila kwa kuwa Ni utashi wako siyo tatizo
Mkuu bado kuna kibarua kigumu cha kustawisha makuzi yetu sio kwa Vijana,wanaume + wanawake na hata wazee

Ogopa hadi Hayati/Marehemu anapigwa majungu..kibaya kabisa hasikii wala hajui ila bado watu wamesimamia majungu.
 
Acha kudanganya ....watu , Magufuli alikiuka masharti kwa kuingiza ndugu zake ndani ya Usalama wa Taifa ...wakapelekwa crush program ..ndio wakawa walinzi ...wake , Pamoja na kuwa na mavifaa mengi na mibunduki ya ISRAEL , his details was the most incompetent
System ya TISS kuanzia Nyerere hadi sasa ....haitumii aina ya Ulinzi aliyokuwa aneipenda Magufuli kwakua ni aina ambayo sio rafiki kwa wananchi ..system ya Tanzania wanakua na askari makini wasio na makeke wenye mafunzo ya hali ya juu .............. na kunakua na kikosi cha reinforcement kwa umbali fulani [mfano ndani ya gari au sehemu ] ambacho kinakuwa standby na watajionyesha tu pale itakapodhibitika kuna haja ...hata nchi kubwa hufanya hivyo ..
Huu mfumo wa Mibunduki ameuiga Rwanda na Uganda sio wetu
Kwa hiyo ndugu zake Magufuli waliingia usalama na Polisi mwezi mmoja tu baada ya Magufuli kuapishwa Kama Rais?

Hebu acha kudanganya wenzio sheikh[emoji23][emoji23], kama hujui kausha mkuu.

Kwa taarifa yako hao wanausalama ( mnadanganywa Sana kuwa wanatoka rwanda) utaendelea kuwaona wakiwa kazini mda wowote Rais akiwa mikoani na kwingineko.
 
Offcourse alipoingia alianza na mfumo uliokuwepo ....huu mfumo mpya wa kulindwa na wenye magwanda alianza mwaka mmoja na ushee baada ya kuwa maadarakani ...Mwaka mmoja ulimtosha kuandaa vijana aliowataka . Naongea kitu nina uhakika nacho .
 
Rais yupo smart Sana huyu Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana, kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho, na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa, ajiri watu, ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Mkuu hili ni Taifa, Long term plan ni Muhimu sana, kumbuka kuna vizazi vingi vinafuata na ni lazima waje kufaidi hiyo miradi.

Anapaswa kubalance mambo, miradi ni muhimu sana, hakuna nchi kubwa duniani iliyoendelea bila LONG PLANS inayotekelezeka

Binafsi kwenye uwekezaji wa Airport na Airlines ndio ustop kwanza kwasababu imethibitika kuna hasara kubwa baada ya uchunguzi.

Miradi mingine itiliwe mkazo na kusimamiwa kwa ukuaji wa uchumi.
 
Mama is so humble . May the Good Lord make her prevail in her leadership as we grow as a country .
 
Back
Top Bottom