Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie akili huwa mnapeleka likizo ndio maana ccm wanawachezea wapendavyo!
JamiiForums-1670896029.jpg
 
Rais yupo smart Sana huyu Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana, kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho, na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa, ajiri watu, ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Yap Samia yuko smart sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hayo majamaa kwenye hiyo picha ya chini yaliyosimama na mabunduki makubwa, yanatokea nchi gani? Maana hatuna sare za aina hiyo kama sikosei!!
Wewe ni mtoto mdogo tu hujui kitu
 
Nyie pimbi ulinzi wa Rais inategemea na yupo eneo gani hao wa kushika bunduki hata samia anao acheni kujidanganya ati upo smart mara nini! Kiujumla ulinzi wa Rais unaprotokali zake kama huyu atakuwa si mtu wa misafara sana basi hata ile safu ya wenye mabunduki hamtaiona Sana lkn ile safu ipo na inakazi yake acheni kubwabwaja tu.
Safi mkuu!
JamiiForums-1670896029.jpg
 
Yap Samia yuko smart sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh................
 
Ulinzi Bado Uko ule ule Tu, hata walinzi Bado Ni wale² ambao wengi walkuwa Kwa Magu. Sema HPSU amebadilishwa Sio Mzee Wambura Tena, Yuko Jamaa Mmoja Muislam
Hiyo hpsu inawakilisha nini
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Siku hizi limeshabadilika! Naona tayari limeshalewa madaraka!
 
Ulinzi Bado Uko ule ule Tu, hata walinzi Bado Ni wale² ambao wengi walkuwa Kwa Magu. Sema HPSU amebadilishwa Sio Mzee Wambura Tena, Yuko Jamaa Mmoja Muislam

Wambura alikuwa anakula kitimoto kwani?
 
Back
Top Bottom