Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Hakuna mabunduki kivipi?
Ulinzi wa rais una cycles karibia 3/4 usijidanganye
1. Hawa wanaoka karibu nae mita 1-1.5
2. Wanaokaa mbali kidogo mita 3-4
3. Special force ambao mnawaita FFU, wakiwa "full armed"
4. Hawa hujichanganya na raia huko katikati
5. Bado kuna vijana wa IT
Hao unaowaona hapo ni cycle moja tu
Kwahiyo inawezekana katika mkutano wa Rais kukawa kumejaa walinzi wake tu na siyo wasikilizaji?
 
Namkubali sana mama Samia...

Nadhani kila Mtanzania anamkubali mama. Isipokuwa wale waliotaka kujaribu kumuweka kando. Mama huyu ni baraka kutoka kwa Mungu. Mama mwenye nidhamu, busara na hekima kweli kweli.
 
Safari yako ya kujifunza tabia ya mwanadamu haijafika hata nusu. Kwa taarifa yako, hata spiritual leaders (pope, cardinals, etc.) hushambuliwa; huhitaji kuwa mbaya hapa duniani kushambuliwa!

Kuna assassins ambao wanakuwa hawajatumwa na mtu yeyote. Wanafanya hivyo kwa chuki zao binafsi, na wengine ni bipolar cases. In most cases, hawa wanakuwa lone actors. Martin Luther King, Jr. na assassinated presidents wa Marekani wengi waliua na watu wa aina hii. Kwa kawaida, hakuna intel radar inayoweza kubaini mipango yao, kwa sababu hawahusishi watu wengine.

Wenye comprehensive plan ya kushambulia ambayo inahusisha watu wengi huwa hawafanikiwi. Mwisho wa siku wanaishia kudakwa kama kuku na mpango wao kushindwa kwa kishindo!
You must be a security professional from the way you have explained this issue!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Magufuli ndio maana katwaliwa mapema, alidhani usalama wake upo katika silaha kali za moto akasahu kumtegemea Mungu, akaishia kuondolewa na ka kirusi ka covid19
 
Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
Ndege zinatakiwa zisubiri hela zihamishwe kwenye reli za umeme na nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hasa waalimu, Elimu bure pia iangaliwe kwa jicho la ziada kama sio kuipiga chini ijadiliwe upya sio kwa kuilazimisha tu mradi liende

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Nimeipenda sana hii picha.
Mama Samia Mungu akuweke.
Jamaa alikuwa intimidating.
 
Mambo ambayo watu hawayajui kwa undani na wanadanganyana:-

1. Kuna wachache wanaamini kuwa wale walinzi waliokuwa wakionekana enzi za Magufuli Ni wanyarwanda-

Si kweli wale Ni kikosi maalumu Cha VIP security toka TISS.

2. Watu baadhi wanaamini Rais hujipangia ulinzi- si kweli, Kuna timu maalumu toka TISS na Polisi ndiyo humpangia rais ulinzi wa kila siku kulingana na eneo anapozuru.

3. Watu baadhi kwa kutojua Mambo ya kiusalama wanaamini Rais akiwa na ulinzi mkali Basi ni mbaya kwa wananchi wake, na akiwa na ulinzi hafifu Ni ishara ya kupendwa na watu wote.

Halafu hao hao utakuta wanapongeza na kuvutiwa na ulinzi wa viongozi wa Magharibi na kwingineko ila huku hawataki kiongozi alindwe kikamilifu.

- Tutambue kuwa, Huwezi ukawafanya watu wote wakakupenda, ulinzi kwa kiongozi mkuu wa nchi lazima uimarishwe kwa kuwa hata Kama utapendwa na watu 99%, tayari ujue Kuna adui anayeunda 1% ya hatari kwako. Lazima ulinzi uwepo kuzuia hiyo 1% isilete madhara.


#Wapinzani wanafurahia Sana Mh. SSH kuongoza, wanasahau huyu ndiyo aliwaambia hata wakipiga kura kuikataa CCM lazima wao ( akina SSH) waende ikulu.

Nb. Tusiwe wajuaji wa kujadili tusivyovijua.
 
Kama huna shida unakua unatembea na batallion nzima ya nini , halafu kuna element za Jiwe hapo huyo nyuma ya ADC sidhani kama anatakiwa kuwepo hapo maana alikua kwa jiwe , hatakiwi kabisaaaa nashangaa anafanya ni ni hapo zama zao ziliisha
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Fear of unknown ilimkumba mwendazake, na wapambe wakapitia pale kupiga pesa, kwanza sijui hata msafara wake ulikua unakula sh ngapi, ule msafara ulikua na mbwembwe sio za dunia hii, mabunduki kila mahala ,cheki ulinzi wa mh Kinyatta wenda uko imara Sana lakini mbwembwe hamna,
 
Back
Top Bottom