Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Mkuu hili ni Taifa, Long term plan ni Muhimu sana, kumbuka kuna vizazi vingi vinafuata na ni lazima waje kufaidi hiyo miradi.

Anapaswa kubalance mambo, miradi ni muhimu sana, hakuna nchi kubwa duniani iliyoendelea bila LONG PLANS inayotekelezeka

Binafsi kwenye uwekezaji wa Airport na Airlines ndio ustop kwanza kwasababu imethibitika kuna hasara kubwa baada ya uchunguzi.

Miradi mingine itiliwe mkazo na kusimamiwa kwa ukuaji wa uchumi.
Jiwe hakuwa anabalance mambo , japo alionekana ana nia ya dhati Ila ukweli Tu ni kuwa mwamba alikuwa ni hovyo kwenye plan zake ...... Angekuwepo angeendelea kung'ang'ania haya madege licha ya kuonyesha consecutively loss ..mana yeye anaamini hakosei na hapendi kukosolewa , na ameyanunua Kwa Gharama ya ku-pin out ajira za vijana wengi tuu, kuminya pesa za wastaafu , na kuwafanyia roho mbaya aliowaita wafanya kaz wenye vyeti feki kwa kukwapua mafao yao, kuminya mzunguko wa hela kitaa, kuongeza Kodi mpak za majengo huko ,na kutoongeza mishahara ya wafanyakazi, sambamba na deni la Taifa kushoot Kwa 💯 ndani ya miaka 6 since Jk leave the throne .... unapofanya uwekezaji, unafanya mambo mengi Kwa kizazi kilichopo na machache Kwa kizazi kinachokuja .... Yesu alisema tusihangaike Sana na mambo ya kesho Kwa kujiumiza Sana sababu Sisi ya kwetu ni leo tuu.... na huu umekuwa mfano hai Kwa jiwe , tumepitia wakat mgumu Sana kiuchumi Kwa maono amabyo ukamilikaji wake ni sio over night ni Zaid ya miaka Mia .....

Mama Samia anatakiwa aelewe hili , siwez Mimi kulala njaa kisa namtengenezea maisha mazuri mtu atayeishi Tanzania mwaka 2100 , huo ujinga big nooo hata Mungu anaelewa
 
Mkuu haya mambo huwa hayana kanuni mfano mdogo kwa Afrika rejea kwa Capt. T Sankara alivyoishi na watu ila miongoni mwao hao hao wakamfanya nini.

Pia nakumbuka kulikuwa Rais wa Sweden kama sikosei naye alijiamini akaondoa ulinzi wake kwa madai anakubalika ila final kilichotokea ni majonzi.

Kwahiyo kwendana na uhalisia wa kazi husika ni lazima upate mlengo wa kushoto tena wanaojiweza hasa siyo wakaa vijiweni na story za kudanganyana ndiyo hupelekea watu kuunda kuta kama hizo.
Alikuwa waziri mkuu wa Sweden olaf palme kujiaminisha sana nako si kuzuri waweza kuwa na adui hata mmoja tu akakuondoa.
 
Aah!huyu ndo mwenzetu bhana,huyu hata magengen tutakutana nae sanaa akihemea,c kama mwendazake,kila sehm n maredio call kama Nchi imetekwa
 
Ss hatutafut legacy ya mtu ila ni maendeleo,we kama vip kamtafutie na familia yako
Hakuna hata mradi mmoja unaopigwa chini, hawa ni watu waliofeli maisha.. miradi mingine mingi zaidi itaanzishwa kwa ajili ya Legacy yake pia.
[/QUOTE
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Presidential detail,the best
 
Ulinzi unatokana na mahitaji, kama kwa namna yoyote idara iliona kuna umuhimu wa kumpa Magufuli ulinzi mzito, walikuwa sahihi; maana lingetokea lolote, tungekuja hapa hapa kuuliza kwanini hakulindwa vizuri.

Kumbukeni ni wakati huu wa Magu, ndio zilianza chokochoko Kibiti huko, nani anajua kwa usahihi malengo ya wale jamaa.
 
Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Usilolijua ni kama usiku wa giza

B6BEBD33-C6B4-4D9F-9C02-D50A757989D8.jpeg
 
Huna sababu ya kuwaogopa wananchi wako kama kweli wao ndio waliokuchagua lakini kama umepachikwa na tume na polisi utahitaji ulinzi ambao hata gaidi haoni ndani.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Vipi ulinzi wake bado ni uleule aloanza nao au siku hizi ana ulinzi wa mitutu ya bunduki?
 
Ulinzi Bado Uko ule ule Tu, hata walinzi Bado Ni wale² ambao wengi walkuwa Kwa Magu. Sema HPSU amebadilishwa Sio Mzee Wambura Tena, Yuko Jamaa Mmoja Muislam
 
Umesomea wapi Kuhusu VIP PROTECTION? Kwanini usiwaachie wenye taaluma? Mambo mengine yanathibitisha chuki halisi uliyonayo hata Mungu hapendi kabisa
 
Back
Top Bottom