Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Kwa hyo Msiokula Noah ndio Mnaupiga Mwingi? Tungoje wazuri wa Ulinzi akiteuliwa ambae anavuka sea

Haijalishi anatoka wapi kinachotakiwa akajiheshimu katika huo wajibu wake vinginevyo wataona manyoya.
 
Ila magonjwa tuyaogope.
Yanapenyeza hata kwenye ulinzi wa namna yoyote Ile.
Ukiwa mtenda mema huhitaji ulinzi wa binadamu.
 
Screenshot_20210808-205025~2.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

hhahha uzi mtamu sana
Ukiona wengine hawaonekani humu baada ya muda ujue ndio 'utamu wa uzi'...Yaani ulinzi wa Rais unajadiliwa hadharani? Ngoja muanze kushughulikiwa ndipo faida na hasara za uropokaji mtakapozijua
 
Ila we nawe huna kabisa akili!

Unaendeshwa na mihemuko tu.

Mtu hata wiki hajamaliza wewe tayari unaanza kuchekelea.

Hujamwona kwenye settings mbalimbali na tofauti tofauti unaanza kutoa kauli kana kwamba unajua hata unachokiongelea…kumbe hakuna lolote!
Akili anazo mumeo
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Nimekosa mimi nisameheni mimi
 
Mlichokosea mlidhani jiwe ndo alikuwa anajiamlia alindwe vile
Wakati kipo kitengo ndo kinaratibu hayo rais atake asitake atalindwa vile
Nachukia sana kuona walinzi wa raisi wakimzonga na kumdhibiti hata mbele ya cameras. Ulinzi wa kizamani sana... Na ni ishara ya woga.
Hata Kagame na Museveni hawazingirwi na ulinzi wa ajabu kiasi kile!
Nahisi siku tukimpata raisi mwenye ulemavu wa miguu atapangiwa walinzi wa kumbeba.
 
Ukiona wengine hawaonekani humu baada ya muda ujue ndio 'utamu wa uzi'...Yaani ulinzi wa Rais unajadiliwa hadharani? Ngoja muanze kushughulikiwa ndipo faida na hasara za uropokaji mtakapozijua
Daah??
 
Hao wenye silaha lazima wawepo na hawakosekani kwenye PSU.
Lakini ni unprofessional kuwaweka frontline. Meseji inayotumwa kutoka kwenye nchi inayojinasibu kuwa ni kisima cha amani ni tofauti kabisa! Convoy na security details kama tuko vitani! No wonders tunapata wakati mgumu kupata wawekezaji na watalii...
Alafu pia inaonesha wazi tuna spend fedha nyingi sana kwenye "state security" badala ya "human security"
 
Nachukia sana kuona walinzi wa raisi wakimzonga na kumdhibiti hata mbele ya cameras. Ulinzi wa kizamani sana... Na ni ishara ya woga.
Hata Kagame na Museveni hawazingirwi na ulinzi wa ajabu kiasi kile!
Nahisi siku tukimpata raisi mwenye ulemavu wa miguu atapangiwa walinzi wa kumbeba.
Ni kweli kabisaa Kagame ana ulinzi mkali lakini huwezi kuona kazingirwa hovyo, psu inahitaji kubadilika kwenye hili
 
Back
Top Bottom