Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Mradi wa mandege ya air Tanzania. Huko pesa za walipakodi zinapotea bure. Mabilioni ya shilingi yanatekea kutokana na hasara inayopatikana huko.. Mandege yamepaki tu. Hata yanayoruka ni hasara tupu. Biashara ya ndege huwa ni pasua kichwa!
Kwaiyo tufunge ATCL?
 
Nyie pimbi ulinzi wa Rais inategemea na yupo eneo gani hao wa kushika bunduki hata samia anao acheni kujidanganya ati upo smart mara nini! Kiujumla ulinzi wa Rais unaprotokali zake kama huyu atakuwa si mtu wa misafara sana basi hata ile safu ya wenye mabunduki hamtaiona Sana lkn ile safu ipo na inakazi yake acheni kubwabwaja tu.
 
Raisi yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Changamoto huyo alie achwa ni CCM pia.
 
Mkuu haya mambo huwa hayana kanuni mfano mdogo kwa afrika rejea kwa Capt. T Sankara alivyoishi na watu ila miongoni mwao hao hao wakamfanya nini.

Pia nakumbuka kulikuwa rais wa Sweden kama sikosei naye alijiamini akaondoa ulinzi wake kwa madai anakubalika ila final kilichotokea ni majonzi.

Kwahiyo kwendana na uhalisia wa kazi husika ni lazima upate mlengo wa kushoto tena wanaojiweza hasa siyo wakaa vijiweni na story za kudanganyana ndiyo hupelekea watu kuunda kuta kama hizo.
Eidha hujanielewa au ni IQ hafifu
 
20210326_122734.jpg

Bi Samia Suluhu Vaa Barakoa yasije yakakukuta.
 
Mi nashindwa kuelewa sijui watu mnafikiria kutumia nini asee.. so mambo za miaka hiyo mnataka mzileta mpk sahivi!! Halafu mtu akizuliwa muuseme ulinzi wa rais mmbovu..😅

Kuna kazi Sana kuongoza watu sio siri..
Hiyo ya Nyerere ya zamani sawa , na hiyo ya chini ina uzamani gani ?
 
Back
Top Bottom