Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Hakuna hata mradi mmoja unaopigwa chini, hawa ni watu waliofeli maisha.. miradi mingine mingi zaidi itaanzishwa kwa ajili ya Legacy yake pia.
Sgr(tunataka tuendelee kupiga hela watu tunaomiliki mabasi), mradi wa umeme(tunataka tuendelee kuuza majenereta)....etc
Huku tunadai umeme vijijini na viwanxani tena umeme wa gharama nafuu. Halafu NHP tunapiga vita
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Unaweza ukawa huna Walinzi wengi wa PSU, ila ukawa na Walinzi wako wa Kiutamaduni ( Kiuchawi ) Mwilini mwako kama Chale nyingi na Hirizi Mkobani au Mifukoni pia.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Ulinzi mkuu ni Mungu ndiye anayemlinda Mama Yetu
 
Tatizo moja la sisi huwa ni hivi mwanzoni watakupa kila aina ya sifa mpaka vitu vya kawaida kama hivyo ila muda ukifika wanavyobadilika huwezi amini.
Mabadiriko yatatokea pale atakapofanya yasiyotegemewa na wananchi
 
Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Kweli
 
Ni dalili nzuri. Hakuna mabunduki kama yuko vitani.
Hakuna mabunduki kivipi?
Ulinzi wa rais una cycles karibia 3/4 usijidanganye
1. Hawa wanaoka karibu nae mita 1-1.5
2. Wanaokaa mbali kidogo mita 3-4
3. Special force ambao mnawaita FFU, wakiwa "full armed"
4. Hawa hujichanganya na raia huko katikati
5. Bado kuna vijana wa IT
Hao unaowaona hapo ni cycle moja tu
 
Mbona sijaona hata mwenye ka hand bag, ikitokea maza akapata mushickeli wanamsitiri vipi?
 
Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Kama ulivyopigwa chini kwa ukumbembe wako siyo?
 
Back
Top Bottom