Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Hawa Sio Wote ni Walinzi Wa Rais Kuna wengine ni Wasaidizi Binafsi wa Ofisi Ya Rais-Ikulu (OBR)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenye silaha lazima wawepo na hawakosekani kwenye PSU.
Lakini ni unprofessional kuwaweka frontline. Meseji inayotumwa kutoka kwenye nchi inayojinasibu kuwa ni kisima cha amani ni tofauti kabisa! Convoy na security details kama tuko vitani! No wonders tunapata wakati mgumu kupata wawekezaji na watalii...
Alafu pia inaonesha wazi tuna spend fedha nyingi sana kwenye "state security" badala ya "human security"
Mkuu Wala Usiwalaumu Hao Frontliner wa PSU kuwa wengi Hivi.
.
Hawajiweki wenyewe Bali wanapangwa na Head of PSU, Kwa Sasa ni Mzee Suleiman Kutoka PSU Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais yupo smart Sana huyu Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana, kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho, na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa, ajiri watu, ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Bado utasema hivi? Miaka 3 imepita, tupe analysis yako
 
Mkuu Wala Usiwalaumu Hao Frontliner wa PSU kuwa wengi Hivi.
.
Hawajiweki wenyewe Bali wanapangwa na Head of PSU, Kwa Sasa ni Mzee Suleiman Kutoka PSU Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwembwe nyingi, kwa sayansi ya sasa walinzi max 3. Huko bado ulinzi wao ni wankutumia visu na bastola ndio maana wanajazana hivo 🤣
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.

Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].

Hujutii huu uzi wako?
 
Rais yupo smart Sana huyu Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana, kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho, na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa, ajiri watu, ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
Semaji Kama Semaji 😁😁
 
Mama kama anapita na maoni yako vile
 
Rais yupo smart Sana huyu Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana, kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho, na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa, ajiri watu, ongezea mishahara.

Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.
😆😆😆
 
Back
Top Bottom