Trimmer
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 2,770
- 4,834
Imetangazwa wapi,,?Ya kutaka chato iwe mkoa
Imetangazwa wapi,,?Ya kutaka chato iwe mkoa
Na bado haya kufua dafu mbele ya Ziraeli!Safi, nchi ya amani hii mabunduki yanini msibani
Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
misonyDuh haya
Ova
Kama vigogo gani wala rushwa aliokuwa anapambana nao?Magufuli alikuwa anapambana na vigogo wala rushwa na mafisadi wakubwa mno ndio maana alihitaji kulindwa kwa kila namna.
AridhioImetangazwa wapi,,?
Wakina lowassaKama vigogo gani wala rushwa aliokuwa anapambana nao?
Hivi wewe jamaa una umri gani?Eidha hujanielewa au ni IQ hafifu
Kwenye hiyo picha nyoka zipo kibao isipokuwa hauwezi kuziona kwa jicho la kawaida
ushawahi muona Magufuli anaenda na walinzi wa mabunduki msibani?
kuna watu hawana vision kwenye Maisha na hawajui wanataka nini. Hovyo kabisa huyo jamaa.Wamekosa hoja kabisa inaingia akilini mtu anatoka from nowhare anataka SGR ife S.Gorge ife Salenda bridge ife anataka pesa zirundi kwenye akaunti za mabwana zake Uswisi
Mkuu hata mama Samia anao huo ulinzi hapa tutabishana bure tu ila wao ndo wanapanga hatujui ya sirini kwao mpk wafanye hivyo ila mi nachojua kadri muda unavyozidi kwenda lazima ulinzi wa rais uongezeke na pia unakuwa hivyo kutegemeana na maeneo na situation vipo vingi tu. Nawashangaa nyinyi mnaoushangaa ulinzi wa rais kuwa hivyo sema hamfatilii wakati hata kwa Samia hao jamaa wapo! .. hapa tutabishana bure tu..[emoji28]
Umri wa kujua kuwa Dikteta uchwara kafaHivi wewe jamaa una umri gani?
Me pia nahisi hivyo maana Wana mtazamo negative na serikali ya awamu ya nne.Vero na joyce ni musiba na makonda
Commando hawa wa 92 au commando jide unajua hakuna commando mwanamke bongo zaidi ya jide machozi?Kunaa huyo mwanadada aliee vyaa kilembaa nazani nikomando
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Kwamba Rais yuko kanisani na watu wa mabunduki?? Au yupo msibani na watu wa mabunduki?
Ulinzi inategemea muhusika yuko eneo gani.
Komando wa kike kitandani analala tuuuuuuKunaa huyo mwanadada aliee vyaa kilembaa nazani nikomando
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app