Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
Sasa unachokitafuta kwenye ulinzi wake nini kenge wewe?Thibitisha sehemu niliyosema Rais kajipangia ulinzi we mbwa jike
Sasa unachokitafuta kwenye ulinzi wake nini kenge wewe?Thibitisha sehemu niliyosema Rais kajipangia ulinzi we mbwa jike
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].
Aache kabisa kutenga Kapesa mengi kwenye mamiradi liability kama sgr ,huo ukamilike 2030.Aongeze vipi mzunguko wa pesa mtaani? Apige chini miradi gani? Akishapiga chini hyo miradi na kuongeza mishahara nchi itaongezaje mapato? Elimu bure itaweza kugharamiwa? Afungue uhusiano upi wa kimataifa ambao mwanzo ulifungwa? Au unamaanisha aende ulaya akaombe msaada?
Yaani aache projects za umeme? Reli? Au unamaanisha projects gani? Ni shule gani mnaenda kusoma? China, USA,nk zilifika uchumi wa juu kwa kuongeza mishahara na kuacha major projects? Niliambiwa JF kuna great thinkers, ndio nyie?
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Hao wanao jifanya wako na Nyerere mstari mmoja, ni PSU tena ya kutisha,chunguza eye-marking yao ilivyo kaa!
Nikupe namba ya vero hapo
Alibwana miradi yake.Kupambana na mla rushwa ni kumpeleka mahakamani, je lowassa alipelekwa mahakamani?
Nawe unataka?Ahahahahahahahha duh!
Ume nena.Safi, nchi ya amani hii mabunduki yanini msibani
Huyu Mama naona atafanya vizuri sana kuliko mtangulizi wake
Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
Tatizo moja la sisi huwa ni hivi mwanzoni watakupa kila aina ya sifa mpaka vitu vya kawaida kama hivyo ila muda ukifika wanavyobadilika huwezi amini.
Sasa ulinzi wa Rais una wahusu nini? Mbona mijitu ya humu ina viherehere sana....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].
Namuona first gentlemen hapoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].
Wabongo wazoee tu mkuu, hawana subira kbsa washatoa maksi kwa mtu ambaye ht hajaanza utendajiKwahiyo kwa point hiyo tu,tayari Samia ni Rais mnayemkubali sasa sio??🤔
Hiyo Pisi kama msomali yenye ushungi ni PSU?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91].
Wale jamaa wenye mi Ak47 naona mbwembwe tu ilikuwa haina maana yeyote.Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Bila shaka mabunduki umeyaona kama kawaida. Ni lile gari letu lipo. Unadhani magufuli alioenda au PSU walipanga kulingana na Magu kuwa na maadui wengi?Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Ila kweli maisha mafupi haya kwann tujiteseeeee...
Binadamu ni wanafiki usipime. Leo yamekuwa haya.Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.
Maisha mafupi haya jamani, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda.