kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Aongeze vipi mzunguko wa pesa mtaani? Apige chini miradi gani? Akishapiga chini hyo miradi na kuongeza mishahara nchi itaongezaje mapato? Elimu bure itaweza kugharamiwa? Afungue uhusiano upi wa kimataifa ambao mwanzo ulifungwa? Au unamaanisha aende ulaya akaombe msaada?Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.
Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Yaani aache projects za umeme? Reli? Au unamaanisha projects gani? Ni shule gani mnaenda kusoma? China, USA,nk zilifika uchumi wa juu kwa kuongeza mishahara na kuacha major projects? Niliambiwa JF kuna great thinkers, ndio nyie?
Sent from my Android using JamiiForums mobile app