Huu mwaliko wa Tyson Whitehouse ni maajabu.

Huu mwaliko wa Tyson Whitehouse ni maajabu.

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,787
Reaction score
8,093
FB_IMG_1791645842113.jpg
 
Hakuna ajabu yeyote. Mike Tyson amewahi muajiri (hired) Trump kama Mshauri wa masuala ya fedha. Maisha ni mzunguko.

Kikwete amewahi kuwa Katibu wa Pius Msekwa. Badae Pius Msekwa akaja kuwa Makamu Mwenyekiti CCM, Jakaya Mwenyekiti na Raisi wa nchi. Anachokifanya Trump ni heshima kwa muajiri wake wa zamani (Tyson).

Kesho ni fumbo.
 
Hakuna ajabu yeyote. Mike Tyson amewahi muajiri Trump na kuwa bosi wake. Maisha ni mzunguko.

Kikwete amewahi kuwa Katibu wa Pius Msekwa. Badae Pius Msekwa akaja kuwa Makamu Mwenyekiti CCM, Jakaya Mwenyekiti na Raisi wa nchi. Anachokifanya Trump ni heshima kwa bosi wake wa zamani (Tyson).

Kesho ni fumbo.
Mkuu kuna tofauti kati ya boss na mshauri wa mambo ya kifedha. Kamwe Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson. Alikuwa mshauri wa kifedha. Ikumbukwe Trump kazaliwa kwenye utajiri na alishakuwa tajiri mkubwa kabla ya Tyson kuwa maarufu. Na mapambano kadhaa ya Tyson yalifanyika kwenye kumbi zilizokuwa zinamilikiwa na Trump.
 
Mbona Tyson hakuwahi kumuajiri Trump? Mmetoa wapi hii?
 
Mkuu kuna tofauti kati ya boss na mshauri wa mambo ya kifedha. Kamwe Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson. Alikuwa mshauri wa kifedha. Ikumbukwe Trump kazaliwa kwenye utajiri na alishakuwa tajiri mkubwa kabla ya Tyson kuwa maarufu. Na mapambano kadhaa ya Tyson yalifanyika kwenye kumbi zilizokuwa zinamilikiwa na Trump.

Nani alikuwa anamlipa mwenzake?
Ukifanya ushauri wa kitaalam (consultation) na ukalipwa, anaekulipa ni bossi wako. Maana yake amekuajiri kufanya kazi hiyo, hufanyi bure, unalipwa nae.
 
Amewahi mwajiri kama Mshauri wa fedha (Financial Advisor) na Mwanamkakati (Strategist), miaka ya 1988. Tumia AI au Google mkuu.
Nadhani Trump alijitolea kuwa mshauri wa fedha wa Tyson na hakuwa analipwa. Tyson hakuwahi muajiri.

Trump kashadhamini mapambano ya Tyson kama 15+ kabla ya kujitolea kumshauri kifedha. Hebu check vizuri mkuu.
 
Nani alikuwa anamlipa mwenzake?
Ukifanya ushauri wa kitaalam (consultation) na ukalipwa, anaekulipa ni bossi wako. Maana yake amekuajiri kufanya kazi hiyo, hufanyi bure, unalipwa nae.
Ni kweli kuwa consultant ni muajiriwa wa anaemlipa. Lakini sio kweli kuwa muajiri ni bosi wa anaemlipa. Unapomlipa daktari, mwanasheria n.k. hakukufanyi wewe kuwa bosi wao. Unalipia utaalamu wake na muda atakaotumia katika shauri lako. Ungekuwa bosi wao hivyo basi wangewajibika kukuambia kitu unachotaka hata kama ni kinyume na utaalamu wao. Inawezekana kuwa Trump aliajiriwa na Tyson kama mshauri na sio vinginevyo. Tyson hakuwa bosi wake.

Amandla...
 
Back
Top Bottom