Employer anakuambia cha kufanya na, kimsingi, jinsi ya kukifanya na anawajibika kwa kazi yako.Nani alikuwa anamlipa mwenzake?
Ukifanya ushauri wa kitaalam (consultation) na ukalipwa, anaekulipa ni bossi wako. Maana yake amekuajiri kufanya kazi hiyo, hufanyi bure, unalipwa nae.
Wenda ❎ huenda ✅