Msauzijoseph
Member
- Feb 2, 2022
- 40
- 25
Mwanae ni mlevi wa kupindukia.. anatumia pesa za sadaka za huyu jamaa kupiga pisi Kali za hapa mjini
Daily trip za Dubai.. nyie subirini hiyo miamala ya ml 15

Uko serious kweli Kuna mtu kashuhudia hivyo? Ukimwangalia alikuwa na akili timamu kweli?Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limojatena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Kweli na wanawake wanavyopenda ahadi za kupewa hela ni hatari, Cha ajabu hupata mimba kabla ya hela.Na ndiyo maana wake zenu hamuwezi kuwazuia kwenda huko.
Huyu MC pilipili kanisa lake liko wapi? Kuna idadi kama kiasi gani waumini kwenye kanisa lake?Haahaahaa ......atakuwa mcharo soon
Halafu haya mambo lazima pia utoe kafara!
Si unaona Dad Bushiri baada ya kumtoa his beloved daughter
Du! Aisee hawa ni kondoo kwelikweli 🤣🤣🤣Unategemea nini toka kwa watu waliokubali kuitwa wanakondoo? Kondoo hawana akili unawaswaga tu wanaenda unakotaka. Ndivyo hawa wanaojiita mitume wengi wanavyofanya.
Ni kama vile uwa wanashindana kuonyesha ni nani ambaye ana kondoo wajinga kuliko mwenzake. Utakuta huyu anawavua kondoo wake wa kike chupi madhabahuni nao wanakubali, huyu anakula ugali madhabahuni anaita kondoo wake wa kiume waje wamlambe mikono.
Huyu anawanywesha dawa ya kuulia wadudu.
Ukikubali kuwa kondoo kwisha kazi.
Ngoja tuone Mange Kimambi app itakua na habari gani kumhusu huyu jamaa as promised then 'a free mind' inaweza kuwa somehow informed ili iweze fanya decision vzurHuwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limojatena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Hela za ndotoni hizi. Laini ya Nani hiyo ipokee hiyo hela? Na sio mtumiaji wa miamala. Mwamposa bhanaHuwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limojatena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Daah..anyway mambo ya miujiza hupaswi kuyatafakari kwa akili ya kawaida.Ushuhuda una chembe chembe za miujiza
Kihalisia kiwango cha mwisho kuhifadhi kwenye simu ni chini ya milion 4
Ila kwa mwamposa lolote linawezekana, yale maji yana power ya kupumbaza servers za mitandao na kufanya milion 10 iwe detected kama milion 1
Halafu kingine ambacho shuhuda hakukisimulia ni pesa ya makato, unajua ukishapata upako wa mwamposa hakuna muamala wowote ambao utakuwa na tozo wala makato?
Ni muda tu haukuwa rafiki ila shuhuda alikuwa na mengi ya kusimulia na yakushangaza na kuonesha ukuu wa Mungu kupitia nabii wake mnyakyusa mwamposa
Shalom
Binti wako wa kazi vipi mpaka sasa amefanikiwa au bado uko nae hapo nyumban?binti yangu wa kazi anaipenda sana hiyo channel akianza kuelezea unaweza sema waumini wake hakuna haja ya kuwa maskini.
Bado yupo zama YouTube utamuona.Anzisha wewe fursa inakupita. Ila usije kuwa kama baba god wa mwanza. Hivi yule wa mwanza aliewaaminisha waumini wake kuwa yeye ni mungu sijui zumaridi aliishia wapi? Sijui hawakusanuka baada ya mungu wao kufungiwa na serikali wakajua kuwa yuko weak?
Haya makanisa ya mitume na manabii ni shida sana. Hizi shuhuda zinazotolewa na waumini nyingi zimekaa kibiashara zaidi hazina uhalisia. Na mwingine nilimsikia akitos ushuhuda kama huo ngomeni kwa Musa Richard Mwacha. Yeye alidai alipokea milioni moja na hakujua imetoka wapi na hata sms hakuwahi kuiona yeye aliuliza salio ndo akaikuta milioni hiyo kwenye akaunti yake.Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limojatena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Ukristo ni dini halali..ndio mana shetani anaishambulia sana..hawezi shambulia kambi yake ya maajini.wakristo mazuzu,acha wapigwe Sana tu, ukiwazindua wanakuambia uislam dini ya majini sijui Nini na Nini, wenzao Waislamu hakuna uho upuuzi, Kuna tapeli mmoja nae anajiita eti nabii shillah, Cha ajabu eti pia ana waumini na wanamuamini haswaa,
yaani wanatapeli kindezi Sana aisee
God is able..kama unaamini kuwa Yesu alitembea juu ya maji..au danieli hakuliwa na simba..au elisha kupiga upofu jeshi..au musa kupiga mwamba ukatoa maji..unaashindwa vipi kuamini hiyo miujiza ya pesa..mana injili na Mungu ni yule yule wanao muhubili akina mwamposa.Nlishawahi soma ushuhuda wao kwenye gazeti lake wanauza hapo kanisani..kulikua na mpangaji kanipa ye no muumini hapo..jamani jamani
Eti mmoja anasema anashukuru mwanae kapona alikua anasumbuliwa na Kansa ya ubongo,akaenda hospital madokta wakamwambia inabidi tumfanyie operation mwano tumtoe huo ubongo atakufa.akaubalai wakamtoa. Akabakia fuvu ndani tupu.
Kuna mwingine akasema alikua na mtaji wa million kumi duka.likafilisika lote hadi akaishiwa.akaja kuombewa asahivi duka na mtaji umerudi tena
.nkajiuliza umerudije
Mwingine anadaia alikua hana jamani ana madeni makubwa na hela hana,akaja kuombewa madeni yakaisha..najiuliza yaliisha kimiujiza ama wenye pesa zao walimsamehe.