Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
jela kubaya, sio wote wanaoenda jela wana hatia... Ntaendelea.
pole,pengine ulibambikiwa kesi siku nyingine ukipata kesi unishtue nitakuja na box la pesa niwamwagie mahakimu/majaji wenye ela atufungwi,nitakusaidia
Basi kuanzia sasa mimi nawe tuwe kama treni na reli! Usisikie la padri wala la shehe.....wenye wivu wajitoe muhanga wa kujilipua lolest.
Karibu tena Husninyo. I micd u.
mwaaaaaaaaaaahhhh
hadi mwili umenisisimka. mmwaaaaaa....!!. mia
hahahaha! Hadi nimecheka kwa loudspeaker! Shwari? Mia.
Husninyo
WiseLady
FirstLady
King'asti
Dena Amsi
sweetlady
na Lizzy mimi huwa nawaheshimu sana. hawa ndo waasisi wa chit chat. enzi hizo tunachat kama fb. bila hawa nilio wataja hata wewe unaye soma hapa usinge ifahamu chit chat. hawa ndo maregendare wa cc. kama ilivyo Funza dume na Kimbweka kule jukwaa la kikubwa. na mimi ninaye andika hapa ndo monitor mkuu fulu manyota vidole vya robot asiye pigwa ban na Invisible wala Paw. labda @rullete ndo anaweza nipa onyo kwa lugha ya kubembeleza. mia
mimi sijambo ndugu yangu. pole na majukumu. karibu sana. mia
hahahaha!!! kazaa mtoto gani? lol
Wa kiume.
Anaitwa Njomba Nchumari!
halafu weweee! Mi nataka baby gelo! Lol. Mzima dia?
ungependa unipe ulinzi wa kihaya eeh? Sante sana, nshakaribia.
Hehehehehe! Ahsante kwa ufyagio figganigga! Mwaaaaaaah!Husninyo