Kongosho mie sitaki tena mwanaume hata unipe na hela juu sitaki katu.
Thubutu yake
Acha kujinyima utamu, bado mdogo sana wewe
Kuna madhara yake huwezi amini, kwa sasa hutajua ila baada ya muda mrefu utagundua
Na utatesa wanao kama nini, take it from me
Kwa ushauri zaidi nione kwenye ofisi yangu ya PM
Hata kama huolewi tena, chakachua tu kwa mbali
Am not Joking
sadaka gani??? unapata dhambi kunisingizia mtakatifu husninyo.