Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
yaani boss kanitenda leo
utadhani aliniona namkarinisha Husyn; kanibanaje?
yaani the boss ndio kakubana au boss yupi?
yaani boss kanitenda leo
utadhani aliniona namkarinisha Husyn; kanibanaje?
Pigia msitari hilo jibu
Husn,kwa taarifa yako sitaki kukuona mpaka urudishe sadaka mlizokwapua wewe na The Finest!
Btw rais kaniteua usiku huu kuwa disi mpya wa wilaya ya mpwapwa,stay tuned.
Husyninyo huyoo.......!
Hunifikii mimi swahiba, yani nahisi siku klorokwini akitokea humu ntazimia kwa furaha.
welcome back d duh
figganigga kuna mgeni huku
kaolewa vibaya mno
sasa hivi anachezea embe mbichi tu.
Anaitwa Michelle Bishanga Bashaija
Hahahaha, atatokeza tu usijali. Si unamjua alivo na kiherehere? Sipati picha atakavokuja kwa mbwembwe hapa lol.yaaani swahiba!!! halafu yule mzembe aliyechafua cv mbona simuoni!!!! lol.
Hahahaha, atatokeza tu usijali. Si unamjua alivo na kiherehere? Sipati picha atakavokuja kwa mbwembwe hapa lol.
Umeonae? Inarudi ile timu yetu ya zamani, raha tupu lol