Husyninyo is Back

Husyninyo is Back

hujambo swahiba, huyo mkwe wangu anajishaua tu, ananilavu sana hata chakula kilikuwa hakipiti kwa kunimiss!
Furaha yangu haieleziki swahiba! Yaani natamani na my klorokwini wetu nae arudi ili timu itimie! Mdipu basi akuje.
 
Last edited by a moderator:
yaani boss kanitenda leo
utadhani aliniona namkarinisha Husyn; kanibanaje?
 
Heeeeh . . .!!!

Hivi kumbe ni kweli umerudi?
Mi nilijua ni kapasiwedi tu kamechakachuliwa!lol
Baby boy ndo mpango mzima, ukimuweka pale kwenye mataa anapiga mpaka engine za tractor ya kilimo kwanza!

BTW, Mie mzima wa afya. Karibu tena.

nimerudi dia.... ahsante kwa ukaribisho.
 
Umejuaje kumtaja huyu jamaa aisee akirudi itakuwa poa sana umemsahau na @uporoto timu ikamilike
Yan acha tu mpendwa hata sijui nini kiliwasibu swahiba zetu, natamani kweli kuwaona tena jukwaani.
 
Husn,kwa taarifa yako sitaki kukuona mpaka urudishe sadaka mlizokwapua wewe na The Finest!
Btw rais kaniteua usiku huu kuwa disi mpya wa wilaya ya mpwapwa,stay tuned.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom