nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Utanionyesha pa kwenda! Afu honey mie hata sikuelewi, mbona umebadilika, hasira kila wakati, kama kuna mahali nimekosea plz nisamehe then nambie ntajirekebisha! Wajua siwezi kuishi bila wewe mpenzi! (machozi yanatiririka hapa)
nataka tuhamie nyingine pale tunapoishi akina Mungi wanakusumbua sana
Last edited by a moderator: