Husyninyo is Back

Husyninyo is Back

Husninyo
WiseLady
FirstLady
King'asti
Dena Amsi
sweetlady
na Lizzy mimi huwa nawaheshimu sana. hawa ndo waasisi wa chit chat. enzi hizo tunachat kama fb. bila hawa nilio wataja hata wewe unaye soma hapa usinge ifahamu chit chat. hawa ndo maregendare wa cc. kama ilivyo Funza dume na Kimbweka kule jukwaa la kikubwa. na mimi ninaye andika hapa ndo monitor mkuu fulu manyota vidole vya robot asiye pigwa ban na Invisible wala Paw. labda @rullete ndo anaweza nipa onyo kwa lugha ya kubembeleza. mia

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:Mkuu figganigga wakati unapost ulikuwa unapata kinywaji gani :becky::becky::becky::becky::madgrin::becky::becky::becky::becky:
 
Husn,kwa taarifa yako sitaki kukuona mpaka urudishe sadaka mlizokwapua wewe na The Finest!
Btw rais kaniteua usiku huu kuwa disi mpya wa wilaya ya mpwapwa,stay tuned.

kama ndo hivyo mbona Mpwapwa itashake kwa huzuni
 
Last edited by a moderator:
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:Mkuu figganigga wakati unapost ulikuwa unapata kinywaji gani :becky::becky::becky::becky::madgrin::becky::becky::becky::becky:

burdani iliyo changanywa na valuuu. mia
 
Back
Top Bottom