ahsante wangu. mzima wewe? hao sijui walipo. mi niliwaacha humu.
Umejuaje kama Arushaone naye ni mmojawapo usimpendekeze mtu kwa kumuweka katika list wakati yeye mwenyewe hajasema kama alikuwa mmojawapo mamdenyi
mie mzima best...aisee basi wamepotea kama mizizi ya jiwe!!
narudi muda si mrefu wapenzi wangu tuchakachue.
mafichoni. swahiba wangu yupo wapi? mshazaa watoto wangapi shem?
Nikusaidie kutafuta?kamoja tu ila natafuta nyumba ndogo
Nikusaidie kutafuta?
mwaaaaaaahhhh!!! umekuwa mbaba eeh! lol. ahsante mpenzi.
Nihame au? Ujue bado sijapona vizuri darling! Utaniongezea ugonjwa mwenzio.itakuwa vizuri ila na master bedroom
Nihame au? Ujue bado sijapona vizuri darling! Utaniongezea ugonjwa mwenzio.
Basi kuanzia sasa mimi nawe tuwe kama treni na reli! Usisikie la padri wala la shehe.....wenye wivu wajitoe muhanga wa kujilipua lolest.
Utanionyesha pa kwenda! Afu honey mie hata sikuelewi, mbona umebadilika, hasira kila wakati, kama kuna mahali nimekosea plz nisamehe then nambie ntajirekebisha! Wajua siwezi kuishi bila wewe mpenzi! (machozi yanatiririka hapa)uhame uende wapi?
Hehehehe! Bado na mwanao uporoto01.Hehehe mkwe mie sisemi kitu, manake ntaharibu. You are my xmas gift. Nna umbea kama km 1000 hivi. Inabidi tuende lindi then kigoma.