Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

Sijajua kwa upande wako mkuu, Ila 80m ni ndogo kwa mfanyabiashara Kama Husein...

Kuhusu ufeki wa nguo anazouza hayo ni majungu binafsi.. Nakupa id yake soon mmalizane
Nguo zote zinazouzwa Kinondoni, Sinza, Kariakoo ni feki 150%
 
Tatizo kubwa la vijana ni wivu wa maendeleo.. Yaani hampendi kuona mtu anafanikiwa. Sasa aliekuambia ataenda lupango kwa ajili ya 75m ni nani?

Pili, umeambiwa kesi imeenda mahakamani Leo, Hata Husein mwenyewe hakuepo, huenda hata madai yenyewe ni fake,lengo kuchafuana tu. Subiri mahakama iamue Ndo uzungumze kitu
Wivu wa maendeleo ni kutolipa madeni ya watu.
 
Mimi huwa nadhani Una uelewa mkubwa kumbe bure kabisa, kesi imefunguliwa Leo na hujui kama anadaiwa Kweli au lah, ushanza kushabikia na kuponda bidhaa zake.. Natamani sheria nchi Hii wangeanza kufundisha toka la kwanza.
Bidhaa zake feki. Mchina.
 
Wangapi washafunguliwa mashtaka mahakamani na hata kwenda mahabusu miaka kadhaa lakini hukumu inatoka wanakutwa hawana hatia?

Fanya kazi, kua mbunifu ili na wewe upate mafanikio, wivu wa namna hii utazidi kuumiza Moyo wako tu.

Mcpoangalia mtaendelea kulishia wazungu mbwa wao Milele mwishowe mrudi nchini mmezeeka na mifuko mitupu Kama Lemutuz
Dawa ya deni ni kulipa.

Milioni 75 kwa kipindi hiki cha njaa ni kwa milioni 150.
 
Mkuu pamba zako Una shop wapi? Woolworth au Edgars?naskia Kule USA baby Kuna sehemu Kuna machinga complex eti Ni kweli?pamba feki feki,
Maduka ni haya

Saks fifth avenue
Sears
Jcpenney
Marshall's
Tjmaxx
Chaps
Gap
Giorgio Armani store.
 
ukweli mchungu ila ndo hivo bongo huku zetu feki tu..last week nimenunua polo shirt 15,000 tu haha sasa angalia yule farasi ana miguu mitatu cjui hah....
unakuta mtu anakwambia nike air max original hii uliza bei 80,000 haha
...uliza vans og unaambiwa 20,000....watu ambao hawajawai ona original brands hawaoni tofauti yoyote
Mkuu Nike ni USD 150
 
Sasa Pambakali angezipata wapi wakati shule kaogopa umande na kazi hapendi kutoka jasho! utaalamu wake upo mdomoni! Leo kashikwa utapeli, subiri kesho ni ugoni. Mdomo wake mwepesi kutongoza!
Hii itakuwa mipasho ya mumivu Tu ya kitu fulani c bure,
 
Povu la nini kamshauti alipee
Hyo ni kesi ya madai, si jinai, elewa kwanza...jinai unashitakiwa na jamuhuri na moja kati ya lengo kuu la kuwekwa mahabusu ni kwaajili ya upelelezi. Kwenye madai ukitaka umfunge mtu, wewe ndio utalipia, ama kuwe na mazingira ya kisheria ila si hayo matakwa yako tu. Jifunze sheria
 
Wauza Ngada Wanazidi Kuumizwa,Bwimbi haliuziki kwa sasa,Biashara ya Ngada imekuwa Ngumu...HPK Lipa Deni acha [HASHTAG]#Janjajanja[/HASHTAG].
 
Wauza Ngada Wanazidi Kuumizwa,Bwimbi haliuziki kwa sasa,Biashara ya Ngada imekuwa Ngumu...HPK Lipa Deni acha [HASHTAG]#Janjajanja[/HASHTAG].
Sasa hivi ndio wanahela kweli, manake wanauza na matumozi hawana , wanaogopa kubanwa, kwa hiyo wana cash nyingi mno, wenyewe wanasema haijawahi kutokea.
 
Sasa Pambakali angezipata wapi wakati shule kaogopa umande na kazi hapendi kutoka jasho! utaalamu wake upo mdomoni! Leo kashikwa utapeli, subiri kesho ni ugoni. Mdomo wake mwepesi kutongoza!
umh sasa kule china kufata mizigo nakuleta madukani kwake so kazi ile?? punguza wivu nakujona ww mbora kwawenzako .unataka kusema ww unaelim kweli kwahaya uloyaandika .
 
Tatizo la wajinga ni kusapoti kila ujinga bila kupima hata aina ya ujinga wenyewe.
Huyu anasemaga Yupo USA hizo nguo za Husein alivaa lini?
Hawa ndio Walisha mbwa Ulaya, mmejawa na miwivu. Fanyeni kazi wanaume la sivyo pumzi zetu zitaendelea kua visogoni mwenu
wengine walizaliwa waje kukebei kila kitu .
 
Hyo ni kesi ya madai, si jinai, elewa kwanza...jinai unashitakiwa na jamuhuri na moja kati ya lengo kuu la kuwekwa mahabusu ni kwaajili ya upelelezi. Kwenye madai ukitaka umfunge mtu, wewe ndio utalipia, ama kuwe na mazingira ya kisheria ila si hayo matakwa yako tu. Jifunze sheria
mkuu watu kama hawa unawaacha unamfundisha nini??
 
Back
Top Bottom