Angelipa sasa....Ww Uko mbali huko nguo za Husein ulijuaje ni fake??
Tuacheni wivu wa maendeleo!! 80m Deni dogo Sana na linalipika
Ww Uko mbali huko nguo za Husein ulijuaje ni fake??
Tuacheni wivu wa maendeleo!! 80m Deni dogo Sana na linalipika
Ha ha ha ha kuna MJ kibao mtaani zinauzwa na hao jamaa. Feki zaidi ya feki.Nguo zenyewe feki feki tu.
Lakini ndo saizi ya wala vumbi hiyo...feki feki feki.
Sio wivu,pesa anapata ila nguo feki. Anyway akileta OG wanunuzi wachache hamna biashara.Ww Uko mbali huko nguo za Husein ulijuaje ni fake??
Tuacheni wivu wa maendeleo!! 80m Deni dogo Sana na linalipika
Naona pesa itakua kaekeza kwenye lile duka pale tegeta na biashara mtaa ule imekua kichaaHilo ni deni dogo?
Mbona anadaiwa sasa...si alilipe kama ni dogo.
Pamba zenyewe feki feki feki.
Hyo ni kesi ya madai, si jinai, elewa kwanza...jinai unashitakiwa na jamuhuri na moja kati ya lengo kuu la kuwekwa mahabusu ni kwaajili ya upelelezi. Kwenye madai ukitaka umfunge mtu, wewe ndio utalipia, ama kuwe na mazingira ya kisheria ila si hayo matakwa yako tu. Jifunze sheriaUmemmaliza...Ngoja asote huko lupango labda ndo panamfaa
Ni kweli, ni kesi ya madai, kesi kama hizi mtu huwa hawekwi mahabusu, na hata hukumu inapotoka huwa hakuna kufungwa labda kama mdai aliiomba mahakama na mahakama ikaridhika kwamba mtu huyu anatakiwa kufungqa ili apate fundisho, na akifungwa mdai lazima amlipie mfungwa wake.Hyo ni kesi ya madai, si jinai, elewa kwanza...jinai unashitakiwa na jamuhuri na moja kati ya lengo kuu la kuwekwa mahabusu ni kwaajili ya upelelezi. Kwenye madai ukitaka umfunge mtu, wewe ndio utalipia, ama kuwe na mazingira ya kisheria ila si hayo matakwa yako tu. Jifunze sheria
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]Sasa Pambakali angezipata wapi wakati shule kaogopa umande na kazi hapendi kutoka jasho! utaalamu wake upo mdomoni! Leo kashikwa utapeli, subiri kesho ni ugoni. Mdomo wake mwepesi kutongoza!
We mdogo wangu wewe......hayo maneno niliyopigia mstari..kama kweli unamaanisha.....Mungu anakuona!
Angelipa sasa....
Huyo anaemdai ningependa sana mahakama imuombe kujua....hiyo 80milion aliipata wapi...na alilipa kodi kiasi gani...yawezekana mshtaki ni mwizi wa mapatoTatizo kubwa la vijana ni wivu wa maendeleo.. Yaani hampendi kuona mtu anafanikiwa. Sasa aliekuambia ataenda lupango kwa ajili ya 75m ni nani?
Pili, umeambiwa kesi imeenda mahakamani Leo, Hata Husein mwenyewe hakuepo, huenda hata madai yenyewe ni fake,lengo kuchafuana tu. Subiri mahakama iamue Ndo uzungumze kitu
I like polo shirts and t-shirts.... Nitafanya uchunguzi kama ni farasi wa miguu mitatu aka polo kibajaj.... Nawarudishia zigo lao waongeze miguu au warudishe visenti vyangu vya madafu..... Kwa pesa ngumu ya magu tusitaniane babangu.ukweli mchungu ila ndo hivo bongo huku zetu feki tu..last week nimenunua polo shirt 15,000 tu haha sasa angalia yule farasi ana miguu mitatu cjui hah....
unakuta mtu anakwambia nike air max original hii uliza bei 80,000 haha
...uliza vans og unaambiwa 20,000....watu ambao hawajawai ona original brands hawaoni tofauti yoyote
Huyo anaemdai ningependa sana mahakama imuombe kujua....hiyo 80milion aliipata wapi...na alilipa kodi kiasi gani...yawezekana mshtaki ni mwizi wa mapato
Itakuwa anashop mr priceMkuu pamba zako Una shop wapi? Woolworth au Edgars?naskia Kule USA baby Kuna sehemu Kuna machinga complex eti Ni kweli?pamba feki feki,