Mkuu pamba zako Una shop wapi? Woolworth au Edgars?naskia Kule USA baby Kuna sehemu Kuna machinga complex eti Ni kweli?pamba feki feki,Nguo zenyewe feki feki tu.
Lakini ndo saizi ya wala vumbi hiyo...feki feki feki.
punguza nyodo mtoto wa kiume, watanzania wangapi wanaweza kununua nguo original?Nguo zenyewe feki feki tu.
Lakini ndo saizi ya wala vumbi hiyo...feki feki feki.
Mkuu pamba zako Una shop wapi? Woolworth au Edgars?naskia Kule USA baby Kuna sehemu Kuna machinga complex eti Ni kweli?pamba feki feki,
Kwa hiyo Pamba Kali kafunguliwa tu mashtaka bila sababu eeh...Wangapi washafunguliwa mashtaka mahakamani na hata kwenda mahabusu miaka kadhaa lakini hukumu inatoka wanakutwa hawana hatia?
Fanya kazi, kua mbunifu ili na wewe upate mafanikio, wivu wa namna hii utazidi kuumiza Moyo wako tu.
Mcpoangalia mtaendelea kulishia wazungu mbwa wao Milele mwishowe mrudi nchini mmezeeka na mifuko mitupu Kama Lemutuz
Kwa hiyo Pamba Kali kafunguliwa tu mashtaka bila sababu eeh...
Oh yeah...?Ntakesha bure, Nashukuru nimeijua na understanding capacity yako Leo.
WE RUN THINGSView attachment 443021View attachment 443022
Umeuliza na shop wapi....nadhani picha zinajieleza.
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
ukweli mchungu ila ndo hivo bongo huku zetu feki tu..last week nimenunua polo shirt 15,000 tu haha sasa angalia yule farasi ana miguu mitatu cjui hah....Nguo zenyewe feki feki tu.
Lakini ndo saizi ya wala vumbi hiyo...feki feki feki.
Labda unabishana na mke wake mkuu.!Ingekuwa ni ndogo angeshitakiwa?
Si angekuwa keshailipa zamani za kale...
Acha kurahisisha mambo bana.
Mtu kashitakiwa kwa kushindwa kulipa halafu we unasema hicho ni kiasi kidogo?
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji22]emoji22[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Wangapi washafunguliwa mashtaka mahakamani na hata kwenda mahabusu miaka kadhaa lakini hukumu inatoka wanakutwa hawana hatia?
Fanya kazi, kua mbunifu ili na wewe upate mafanikio, wivu wa namna hii utazidi kuumiza Moyo wako tu.
Mcpoangalia mtaendelea kulishia wazungu mbwa wao Milele mwishowe mrudi nchini mmezeeka na mifuko mitupu Kama Lemutuz
Labda unabishana na mke wake mkuu.!