Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

Wangapi washafunguliwa mashtaka mahakamani na hata kwenda mahabusu miaka kadhaa lakini hukumu inatoka wanakutwa hawana hatia?

Fanya kazi, kua mbunifu ili na wewe upate mafanikio, wivu wa namna hii utazidi kuumiza Moyo wako tu.

Mcpoangalia mtaendelea kulishia wazungu mbwa wao Milele mwishowe mrudi nchini mmezeeka na mifuko mitupu Kama Lemutuz
Mtu kudaiwa si jambo geni wala la kushtua, lakini pia humu duniani mambo ni mengi na ufitini na unafiki na kuharibiana majina, Hussein kudaiwa hizo fedha ni kauli ya upande mmoja tuliyoisikia na sio kuishuhudia. Akienda mahakamani nae akaongea yake ndio tutashangaa kuona hali inabadilika. Cha msingi kama ulivyosema ni vyema kusubiri hukumu ya mahakama ndio itatoa mwanga wa yaliyomo yapo.
 
Na hilo ndilo LA msingi mkuu. Huu ushabiki mwingine hauna maana
 
MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka kwa Anna Kiabi.

Shauri hilo lilitajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ambapo upande wa mdai ulikuwa unasimamiwa na Wakili Jonas Nkya, wakati ule wa mdaiwa ukiongozwa na Ernest Swai.

Mbele ya Hakimu Is -Haq Kuppa, Upande wa mdai ulisema kwamba Novemba 20 mwaka jana mfanyabiashara huyo alikopeshwa kiasi cha sh. Miloni 80 kwa makubaliano atamlipa kwa kipindi walichokubaliana kitu ambacho amevunja makubaliano.

Wakili Nkya alidai Mei 22 mwaka huu mdaiwa Husseni alimtuma mdogo wake aitwaye Hassan Mkangala, apeleke fedha kiasi cha sh. Milioni 5 kwa Anna na kiasi kilichobakia hakulipa tena.

Kwa upande wa utetezi wao waliomba mahakama hiyo iwape muda wa siku 6 ili waweze kujibu madai hayo.

Hivyo Hakimu Kuppa aliahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena lakini Mdaiwa hakufika mahakamani.

Chanzo: Michuzi blog
hii sio kesi ya utapeli ni kesi ya madai na kama ilivyo mdaiwa hafungwi zaidi atatozwa riba na kupewa muda wa kuipa deni
 
mkuu humu ndani kuna watu wanasumbuliwa nawivu .huseni anamaduka mangapi anayumba ngapi anamagari mangapi yakifahari .leo mtu anasema sijui alikimbia shule sijui nguo feki sijui nini .
 
Bidhaa zake feki. Mchina.

Kwanini mnaenda kununua na usiende kwingine kuepuka adha hiyo? Kwani Kuna sheria inayo kushuruti ukanunue kwa Hussein?

Acheni wivu vijana,fanyeni Nazi mjikomboe
 
MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka kwa Anna Kiabi.

Shauri hilo lilitajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ambapo upande wa mdai ulikuwa unasimamiwa na Wakili Jonas Nkya, wakati ule wa mdaiwa ukiongozwa na Ernest Swai.

Mbele ya Hakimu Is -Haq Kuppa, Upande wa mdai ulisema kwamba Novemba 20 mwaka jana mfanyabiashara huyo alikopeshwa kiasi cha sh. Miloni 80 kwa makubaliano atamlipa kwa kipindi walichokubaliana kitu ambacho amevunja makubaliano.

Wakili Nkya alidai Mei 22 mwaka huu mdaiwa Husseni alimtuma mdogo wake aitwaye Hassan Mkangala, apeleke fedha kiasi cha sh. Milioni 5 kwa Anna na kiasi kilichobakia hakulipa tena.

Kwa upande wa utetezi wao waliomba mahakama hiyo iwape muda wa siku 6 ili waweze kujibu madai hayo.

Hivyo Hakimu Kuppa aliahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena lakini Mdaiwa hakufika mahakamani.

Chanzo: Michuzi blog
1234
 
Maduka ya nguo ya bongo ni kizunguzungu tu. Nina miaka kama mitano hapa bongo, sijapata nguo original hata moja. Maduka yote niliyotembelea wanauza nguo feki. Ilibidi niagize nguo bora toka J'burg. Ni aibu sana.

Ukiwauliza jamaa unaambiwa, ukitaka original nunua mitumba.

Kuna wakati nikiliangalia duka la huyo Hussein Pamba Kali, naona limepauka sana. Hivi pale Sinza bado lipo kweli?
 
Alikua bwanako nini akakutosa? Acha wivu wa kike na kushupalia ujinga.. Waongea Kama umemeza betri kutoa ushahidi hewa hapa.
Poooovu! Angalia usijejikuta unajibu post zote as if wewe ndio wakili wake. Hata hivyo hongera, umejibu post zote kwa uchungu
 
Accused sema wewe ndio mtuhumiwa Au ndio "mtu wako wa karibu"

Hiyo haijalishi ,either ni Mimi au ni ndugu au rafiki yangu tuyaache hayo. Let's think kiutu uzima.
Nna experience nzuri na mahakama,nawajua vema watanzania wenzangu na Hata katika Uzi huu nazid kuwajua zaid na zaid kuwa ni wapinga maendeleo.
Hayo ni malalamiko tu yamepelekwa mahakamani sasa tusubirini Hussein nae aje ajibu .

Nachogundua hapa watanzania tuna upeo Mdogo sana. Ukitaka kuamini sana angalia ya JPM, Suleiman Jaffo, John Mongela na mkurugenzi wa KIJIJINI Mwanza..half utaniambia kama sisi tuko sawa upstairs
 
Labda tuwaulize wao wenye shule wana nini?

OVA
mkuu humu ndani kuna watu wanasumbuliwa nawivu .huseni anamaduka mangapi anayumba ngapi anamagari mangapi yakifahari .leo mtu anasema sijui alikimbia shule sijui nguo feki sijui nini .
 
Sasa hivi ndio wanahela kweli, manake wanauza na matumozi hawana , wanaogopa kubanwa, kwa hiyo wana cash nyingi mno, wenyewe wanasema haijawahi kutokea.
Bangi ndiyo inayolipa sana kwa kipindi hiki kigumu cha magufuli.
 
Back
Top Bottom