Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

...waache wauze,kama wewe unavyouza t*ko kwa mapadri!
Anyway. Ukimfukuza chizi ukiwa uchi baada ya kuzichukua ukiwa unaoga unayemfukuza utaonekana chizi. [emoji119] [emoji119] [emoji119] jikimbize peke yako. Fanya kazi isiyo haramu. Poyoyo mkubwa
 
Act matured,nahisi hujui Hata unaandika nini
Tatizo lako ni ubishi.asilimia zote za nguo za kinondoni,sinza,kkoo kwenye mabotique ni feki.Wengine wamekaa nje tukikwambia usiwe mbishi.kiatu cha yeezy kinauzwa hadi dola buki lakini ukikikuta kwa chidi mapenzi na hussen pamba kali kinauzwa laki hadi alfu 50.sasa hyo no original kweli.polo shirt ya ralph lauren bei ya chini dola 80 halafu sinza unakuta linauzwa alfu 25.wajanja wanaagiza nje au mtumbani tu.hizo boutique zenu mnauza vitu FEKI.
 
Nitolee upunga wako hapa
...ushaona shababi ana multiple id's?...hizo tabia za kipusti kama wewe!
..ile picha yako ilipowekwa umeshikwa kiuno na padri umejilegeeeeza,ulilialia humu wiki nzima maanina!
...we uza nyabe,waache watu wauze sembe!
.usishoboke.,punga punguwani!
 
Leo tumetambua ni wapi huyu alipoupata utajiri wake, ni toka madawa haramu ya kulevya

Sasa Pambakali angezipata wapi wakati shule kaogopa umande na kazi hapendi kutoka jasho! utaalamu wake upo mdomoni! Leo kashikwa utapeli, subiri kesho ni ugoni. Mdomo wake mwepesi kutongoza!
 
...ushaona shababi ana multiple id's?...hizo tabia za kipusti kama wewe!
..ile picha yako ilipowekwa umeshikwa kiuno na padri umejilegeeeeza,ulilialia humu wiki nzima maanina!
...we uza nyabe,waache watu wauze sembe!
.usishoboke.,punga punguwani!
Mkuu huna akili. Rudi ukasome upya post hizo. Nilisema wakati namjibu FaizaFoxy kuwa inakuwaje unaweaka Picha za mtu ambaye ni verified? Nikasema nitawasiliana na mwenye Picha ili hatua zichukuliwe na bahati mbaya yule jamaa nilikiwa kumbe nimefananisha na nilipomuuliza niliyefananisha akakana kuwa siyo Picha zake,na ndipo nilipoishia na swala hilo na sikuweza kulifuatilia tena. Kama wewe ni punga na ni msukule wa mbowe peleka kwenu upunga wako.
 
...ushaona shababi ana multiple id's?...hizo tabia za kipusti kama wewe!
..ile picha yako ilipowekwa umeshikwa kiuno na padri umejilegeeeeza,ulilialia humu wiki nzima maanina!
...we uza nyabe,waache watu wauze sembe!
.usishoboke.,punga punguwani!
Inaonekana unapumuliwa nini mkuu??? Maana unatabia za shemale sana.
 
...ushaona shababi ana multiple id's?...hizo tabia za kipusti kama wewe!
..ile picha yako ilipowekwa umeshikwa kiuno na padri umejilegeeeeza,ulilialia humu wiki nzima maanina!
...we uza nyabe,waache watu wauze sembe!
.usishoboke.,punga punguwani!
Nitolee upunga wako hapa. Nilikuwa natumia ID mbili,Moja ya taaluma(vet Dr),na nyingine kwa ajili ya kuchangia kwenye post. Siwezi kutumia ID Moja kujitangaza kitaaluma. Punga mkubwa weeeee. ID hata hivo IDs zote ni combined. Kama huna kazi ya msingi mjini endelea na upunga wako
 
Tatizo lako ni ubishi.asilimia zote za nguo za kinondoni,sinza,kkoo kwenye mabotique ni feki.Wengine wamekaa nje tukikwambia usiwe mbishi.kiatu cha yeezy kinauzwa hadi dola buki lakini ukikikuta kwa chidi mapenzi na hussen pamba kali kinauzwa laki hadi alfu 50.sasa hyo no original kweli.polo shirt ya ralph lauren bei ya chini dola 80 halafu sinza unakuta linauzwa alfu 25.wajanja wanaagiza nje au mtumbani tu.hizo boutique zenu mnauza vitu FEKI.

Achana na hii mada kwanza,bro kaitwa central so tunadili na drug issues kwanza. Tukipata dhamana ntakuja kukujibu usijal
 
Maduka ya nguo kinondoni studio ya wauza Unga..,Sitakaa kununua nguo kule
 
Sasa Pambakali angezipata wapi wakati shule kaogopa umande na kazi hapendi kutoka jasho! utaalamu wake upo mdomoni! Leo kashikwa utapeli, subiri kesho ni ugoni. Mdomo wake mwepesi kutongoza!
Jf kiboko
 
MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka kwa Anna Kiabi.

Shauri hilo lilitajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ambapo upande wa mdai ulikuwa unasimamiwa na Wakili Jonas Nkya, wakati ule wa mdaiwa ukiongozwa na Ernest Swai.

Mbele ya Hakimu Is -Haq Kuppa, Upande wa mdai ulisema kwamba Novemba 20 mwaka jana mfanyabiashara huyo alikopeshwa kiasi cha sh. Miloni 80 kwa makubaliano atamlipa kwa kipindi walichokubaliana kitu ambacho amevunja makubaliano.

Wakili Nkya alidai Mei 22 mwaka huu mdaiwa Husseni alimtuma mdogo wake aitwaye Hassan Mkangala, apeleke fedha kiasi cha sh. Milioni 5 kwa Anna na kiasi kilichobakia hakulipa tena.

Kwa upande wa utetezi wao waliomba mahakama hiyo iwape muda wa siku 6 ili waweze kujibu madai hayo.

Hivyo Hakimu Kuppa aliahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena lakini Mdaiwa hakufika mahakamani.

Chanzo: Michuzi blog
Huyu ni nduggu na Rosemary Mkangala wa RTD
 
Back
Top Bottom