Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

Nenda kapewe padri ulombwe binti, ukibahatisha wawili nipe mmoja basi nna siku🤔

hafu we malaya Palac koma kunitag usenge usenge mimi, kila mtu afanye kilchomleta humu, we kama umekuja kuonesha watu ni wa maana sana komaa kimpango wako! assful kmmk!
mbona malaya tena🤣🤣🤣🤣 hebu kila mtu afanye mambo yake alooo watuache kwa kweli
 
Nenda kapewe padri ulombwe binti, ukibahatisha wawili nipe mmoja basi nna siku🤔

hafu we malaya Palac koma kunitag usenge usenge mimi, kila mtu afanye kilichomleta humu, we kama umekuja kuonesha watu ni wa maana sana komaa kimpango wako! assful kmmk!
Taratibu sasa usije dondosha kope
 
Duuh sijaelewa chochote. Nini hasa point yako?
1780803451148.png


***

Mjadala wa jukwaa unaanza kwa SweetyCandy kuwakosoa wanajukwaa kwa kutafuta ngono na wenza waziwazi na "kwa kujiabisha". Anawakemea hasa wanawake kwa machapisho ya "kuaibisha" na wanaume kwa kujadili masuala kama upungufu wa nguvu za kiume, akisikitishwa na kushuka kwa hadhi ya jukwaa kutokana na kuzingatia mno masuala ya ngono na ukosefu wa staha. SweetyCandy anawasihi watumiaji kuwa na heshima zaidi na kutumia "kodi" (mafumbo) wanapojadili mada nyeti.

Majibu yanaonyesha mitazamo mseto. Baadhi ya watumiaji wanatambua malalamiko yake, huku wengine wakipuuza vikali ukosoaji huo, na kumwambia mleta mada aangalie mambo yake mwenyewe. Mchangiaji mmoja anamshambulia SweetyCandy moja kwa moja, akimtuhumu kwa unafiki, kusema uongo kuhusu hali yake ya ndoa, na kuwa na uandishi mbovu, akidokeza kuwa yeye ni mtumiaji aliyejulikana awali ambaye sasa anachangia akitumia jina au kitambulisho kipya (ID mpya).

Hitimisho: Mjadala huu unaangazia mkinzano mkubwa juu ya maudhui na tabia zinazofaa jukwaani, huku ukosoaji wa awali wa SweetyCandy ukipuuzwa kwa kiasi kikubwa au kukumbana na tuhuma za kujibu mapigo.

***
 
JF imeharibiwa sana na huu ujinga hawa wapuuzi wana ID zaidi ya kumi, na anaweza kuanzisha mada na kujiongelesha mada nzima na ID zake na mada inakwenda mpaka peji 30 hivi, ujinga mtupu
Na zile ID zinazokusumbua na uwingi wake wote wale ni watu wawili tu. Na wamemaliza chuo mwaka juzi ualimu, vitoto flan hiv vinavaa sendo zenye soli nene na kichwan zimepiga miduku

Ila jf jna watu wa ajabu! Oneni tu hivyohivyo wazee. Huu mtandao ni mwisho! Sijawah kuonana na vitu vya ajabu mm kama watu wanaotoka mtandao huu
 
Back
Top Bottom