Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,213
- 4,192
Limeingia wapi mdada!Somo limeingia
Limeingia wapi mdada!Somo limeingia
Naona Maua kachafukwa leo hataki kabisa utani na mtu
Wakizuia huu upuuzi tutabaki wachache sana humu kama buku tano tuJF imeharibiwa sana na huu ujinga hawa wapuuzi wana ID zaidi ya kumi, na anaweza kuanzisha mada na kujiongelesha mada nzima na ID zake na mada inakwenda mpaka peji 30 hivi, ujinga mtupu
Umezungumza vya manaWatu wa humu mpo .?
Humu wengi sana mnaonekana mnahamu ya mapenzi na wapenzi wenyewe hamna wanaoeleweka .
Kama huna je upo tayari kulea au kuishi maisha ya kawaida upewe watoto wa elfu mbili wakuoe wakupige mashine mpaka uache kuja huku kujiabisha .
Au tukupe mchongo wa kwenda kwa siri nyumba za mapadri ukapewe mimba ulee.
Hii ni kwa wanawake wanaopost post za kujiabisha humu .
Kwa wanaume mtu anatoa post eti mashine yake haifanyi kazi nakama ukikuta mtu mashine haifanyi kazi mnafanyaje .??
Shame on you huku watu wamemove on acheni kujiabisha .
Yaani tokea uingie humu hujawahi pata hata wakujitolea, kama mtu anauwezo wakutangaza alivyo mpweke atapata lini mtu serious .
Wengi ambao mashine zao hazifanyi kazi sio hao waliacha condoms zao kila mahali wakafungiwa au nimashoga au hawana nguvu zakiume .
Shida sana haya maisha kama asubuhi mchana ni unawaza ngono hata jini mahaba watakimbia masaa yote wewe ngono tu.
ZAmani kuna aina ya misemo na post za kuvutia hata kuchangia sasa hivi ni kutakana tu na mwisho wasiku hakuna maendeleo .
Nipovu tu ........
Mtu akitoa post hata iwe ya mapenzi iwe ya heshima sio aonyeshe anahitaji mtu wa kudo something haileti picha nzuri . Nenda na codes kwanza hatuonani ...
unaongea kwa experience au changamsha genge? nachojua % kubwa ya wadada wa humu ni vibonge ila kuna pisi kali sana humu. Ngoja niishie apa nisijeachikaHuu mtandao unaongoza kwa kuwa na wadada wabovu kuliko mtandao wowote, hata mkikubaliana, unatakiwa kukaa mbali unamchora kabla hajafika maeneo

Angalia hii utajuaNaona Maua kachafukwa leo hataki kabisa utani na mtu
Na makucha yake.Kumekucha!
Huyo hadi alog in kwenye hiyo id sio leoNgoja nimwite Marry Diana achangie uzi.
tumefikiwa kivipi yani kwamba nimeandikiwa mimi hii mada au?
woiii 🤣 🤣 🤣Dili ni kumkwepa mapema msifike point ya kuonana, imagine ukutane na mdada ambae hata katika mazingira ya kawaida sio vitu vyako kabisa unakuta kavaaa kama Ndalichako.
Labda sisi ndio wahusikatumefikiwa kivipi yani kwamba nimeandikiwa mimi hii mada au?
Tuliza ... Makebo yako wewe.Huu mtandao unaongoza kwa kuwa na wadada wabovu kuliko mtandao wowote, hata mkikubaliana, unatakiwa kukaa mbali unamchora kabla hajafika maeneo