Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

Watu wa humu mpo .?

Humu wengi sana mnaonekana mnahamu ya mapenzi na wapenzi wenyewe hamna wanaoeleweka .

Kama huna je upo tayari kulea au kuishi maisha ya kawaida upewe watoto wa elfu mbili wakuoe wakupige mashine mpaka uache kuja huku kujiabisha .

Au tukupe mchongo wa kwenda kwa siri nyumba za mapadri ukapewe mimba ulee.

Hii ni kwa wanawake wanaopost post za kujiabisha humu .

Kwa wanaume mtu anatoa post eti mashine yake haifanyi kazi nakama ukikuta mtu mashine haifanyi kazi mnafanyaje .??
Shame on you huku watu wamemove on acheni kujiabisha .

Yaani tokea uingie humu hujawahi pata hata wakujitolea, kama mtu anauwezo wakutangaza alivyo mpweke atapata lini mtu serious .

Wengi ambao mashine zao hazifanyi kazi sio hao waliacha condoms zao kila mahali wakafungiwa au nimashoga au hawana nguvu zakiume .

Shida sana haya maisha kama asubuhi mchana ni unawaza ngono hata jini mahaba watakimbia masaa yote wewe ngono tu.

ZAmani kuna aina ya misemo na post za kuvutia hata kuchangia sasa hivi ni kutakana tu na mwisho wasiku hakuna maendeleo .

Nipovu tu ........
Mtu akitoa post hata iwe ya mapenzi iwe ya heshima sio aonyeshe anahitaji mtu wa kudo something haileti picha nzuri . Nenda na codes kwanza hatuonani ...
Usalama wa akili upo humu?
 
Dah dah kwanini sasa akili yangu ikae hivyo mdau 🤣
Hii imeniuma sana
hata mimi imeniuma sana, imenifedhehesha sana, na kwakweli imenisikitisha sana,

nimeamua kuchukua hatua ya kuondoka hapa nilipo na kuhamia kijiwe cha karibu na nyumbani. Full stop.

mwisho wa kunukuu.🐒
 
hata mimi imeniuma sana, imenifedhehesha sana, na kwakweli imenisikitisha sana,

nimeamua kuchukua hatua ya kuondoka hapa nilipo na kuhamia kijiwe cha karibu na nyumbani. Full stop.

mwisho wa kunukuu.🐒
Sorry 😞 nimefuta basi
 
namimi ngoja nilale nikusanye nguvu za kesho 🤣 ,maana najua haya mambo huyawezi..🤣

sema nahisi kuna mtu kajichekesha kwa colony la watu nasema nahisi tu:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:
Fanya hivyo kabisa
 
Watu wanajua kuchamba humu mpaka unajiuliza maneno wanatoa wapi?
Maneno yanaunganishwa inakua sentensi ya kukutukana unabaki mdomo wazi
Ngoja tutatumia chatgpt🤣 usiogope amini tu
 
Back
Top Bottom