ndugu mdau,
kua na hamu na hiyo mambo ni ishara na dalili ya wazi kabisa ya afya njema physically and mentally. Hiyo ni hali ya utayari kwenye 6kwa6.
Congratulations kwa wanapitia hali hii muhimu sana maishani.
Mwenye changamoto hususani ya kiafya hawezi kupata hali hiyo, daima hua mnyonge na mwenye mawazo mengi, hofu na hali ya kutokujiamini na kukata tamaa. Nawaombea baraka na neema za Mungu, wanapotafuta suluhisho za changamoto zao kwenye eneo hilo, Mungu akawafanikishe.
Masuala ya mapenzi ni hiyari ya muhusika mwenyewe, aingie kwenye mahusiano na fulani au asiingie.
In fact,
Licha ya changamoto zake nyingi sana, Mapenzi hayana formula. Leo utafurahi, lakini kesho utaumizwa, ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra katika mapenzi na kufahamu hayo kabla ya kujitumbukiza mzima mzima 🐒