SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,233
- 9,958
- Thread starter
- #261
Kama povu hivi mnachoreka niamini mimiJamii Forums ina majukwaa kibao
Ya Siasa biashara mpka mapishi
Mtu hatembelei hayo majukwaa kwanini?
Na kwanini tupangiane maisha?
Ukiona mada imeenda hewani na haijafutwa ujue hakuna uvunjaji sheria wowote umefanyika
Ila JF š¤£š¤£
NB : kulombana ni afya sio anasa