mbona mi sina ham mwanetu nishakamuliwa zote hapa nipo hoi bin taaban
Hayo unayosema ndio hayatakiwi sasa ya kukamuliwa🤣🤣mbona mi sina ham mwanetu nishakamuliwa zote hapa nipo hoi bin taaban
Namimi akome kabisa mamaer.. anataka wote tujitie utakatifu ili nini kitokee, unafikiri nimekuja kutafuta bwana mimi humu, jibwa hili! ngoja leo aje shenz type!Sawa nitakupea mimi tena na 🍆🤣🤣
Naunga mkono hoja sitaki mtu ku ni tag kwa mada za masiliko
Palac tafuta watakatifu wenzio please leave me alone 📌
ndugu mdau,Wewe ni basi mboga mboga wamekuharibu
Ila ulikua vizuri tu
Ona haya madini🔥
Ila mimi na wewe sijui ndio damu ya kunguni nachoka mimi 🤣🤣Namimi akome kabisa mamaer.. anataka wote tujitie utakatifu ili nini kitokee, unafikiri nimekuja kutafuta bwana mimi humu, jibwa hili! ngoja leo aje shenz type!
Mmiliki wa hii nyuzi anaonekana nae yumo, amejuaje haya yote? Mpaka ma-padri??Kwahiyo mapadre wanapiga watu mitalimbo?
ephen_ kama una picha ya Ndalichako naiomba.
Ndugu mdau kwenye moja na mbilindugu mdau,
daima ni vizuri sana na sichuji kwenye 6kwa6 na kwenye medani ya siasa pia, na kwakweli kwa Neema na Baraka za Mungu naendelea kua mzuri zaidi na bora zaidi ya wakati mwingine wowote.
Umeanza kujipakulia minyama sasa kama kawaida yako mdau🐒Na wala siringi licha ya nafasi na dhamana nilizonazo nchini.
daima niko na nyinyi 🐒
Hatari sana 🤓
Duh, huyu Manzi si juzi amekuja hapa analia genye zimempanda mpaka anafokea watu hovyo? Atakufa na ukata!Ngoja nimwite Marry Diana achangie uzi.
🤣🤣🤣Mmiliki wa hii nyuzi anaonekana nae yumo, amejuaje haya yote? Mpaka ma-padri??
Majukwaa yote hayo ameyaruka, hataki tupigane miti?
Jamii forum ni kama kitaa tuu, wako watu wakila namna..
Huu uzi lazima utaleta kizaazaa
watakufa kwa kijiba cha roho juu ya watu wasiowajua, kwa vikao yao vya kishamba ndio chuki zinaibuka dhidi ya ids fake! ujinga tu..Ila mimi na wewe sijui ndio damu ya kunguni nachoka mimi 🤣🤣
Ila hii 🍑🍆 siachi🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mwenye uzi kaangusha bomu halafu kaenda zake kulalaHatari sana 🤓
Kwahiyo ni hiviii tu🍑🍆🔥🔥🔥🔥watakufa kwa kijiba cha roho juu ya watu wasiowajua, kwa vikao yao vya kishamba ndio chuki zinaibuka dhidi ya ids fake! ujinga tu..
Nasubiri kiwake
Fanya issue zako nyingine shem hamna kitu hapaNasubiri kiwake
ndugu mdau,Ndugu mdau kwenye moja na mbili
Kwenye mambo ya 6kwa6 huna baya
Ila kule kwenye siasa hamna kitu kabisa
Umeanza kujipakulia minyama sasa kama kawaida yako mdau🐒