ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,003
- 46,887
- Thread starter
-
- #181
Mzee wa chai βοΈ πNikianza kukuelezea nitamaliza pages za JF π
Nipo mbagala ila hizo rangi tatu sijaziona πNimefika tegeta, ila nyuki ndio sijawaona.
Pale mwembe-yanga kuna shabiki wa simba anaishi.Nipo mbagala ila hizo rangi tatu sijaziona π
Naelekea mtwara kuchele
Dooh πMzee wa chai βοΈ π
Kama vile visa vya uchawi
Duh mie nilishangaa kufika mikocheni chama na kumbe chama hakai pale anakaa buguruni chama π’Pale mwembe-yanga kuna shabiki wa simba anaishi.
Tulia kaka πDooh π
Yaani umeniita halafu naambulia kuitwa Mzee wa chai?
Oysterbay ana udugu na othman bey πDuh mie nilishangaa kufika mikocheni chama na kumbe chama hakai pale anakaa buguruni chama π’
Chama hakai huko, yuko na mwenzake john boko..Duh mie nilishangaa kufika mikocheni chama na kumbe chama hakai pale anakaa buguruni chama π’
Ukishangaa ya ShesRise_1 utayaona ya makaveli π π ππΌππΌOysterbay ana udugu na othman bey π
Dah we mhuni sana π€£π€£Chama hakai huko, yuko na mwenzake john boko..
Wanaishi boko chama ππ€£
Uwe na usiku mwema ndugu yanguDah we mhuni sana π€£π€£
Nawe pia jombaaa usiku mwemaUwe na usiku mwema ndugu yangu
Mkuu hiki kidonda hakijapona vizuri πππShesRise_1 moja ya conv yenu ni kwamba wote mlipigwa na wajanja wa mjini, ulijisikiaje baada ya kujua umeingizwa mjini
Ukiona namtaja Mungu mara nyingi bhasi jua nilimuona na bado nikaishi.Nilishindwa kumeza
Nilishindwa kutema π’π’π
Alooooooooooo
Nilikua mjinga wa kiwango cha mwisho kabisa kuwahi kutokea
Sema huyo jamaa yeye alipigwa parefu kama sio chai ZirlovimovicZirkov
Pole sana mkuu, ila kikubwa ulijiepusha na balaa lingine la kesi ya mauji,hela huwa zinatafutwa tuMkuu hiki kidonda hakijapona vizuri πππ
Huyo dogo nilimsaka nikamkamatia Gomzi, amejaa mashavu na kitambi kimemtoka. Anachomiliki ni bodaboda tuuπ‘π‘π‘π
Kama sio Mungu ningekuwa segerea pale, maana nilitamani kumuua na ndicho nilikipanga akilini mwangu.
Katika milion 28.6 niliambulia milion 1.32 niliamua kusamehe tuu na kuanza upya.
Asante mkuu, Mungu ni mwema alinipa mwanzo mpya.Pole sana mkuu, ila kikubwa ulijiepusha na balaa lingine la kesi ya mauji,hela huwa zinatafutwa tu
Aisee pole π’Ukiona namtaja Mungu mara nyingi bhasi jua nilimuona na bado nikaishi.
Hicho ndicho kilikua kipindi kigumu kwangu.
Nilikua nachana mbao njombe, Sasa huyo dogo akaja kuomba kibarua Cha kubeba mbao, nikampa kazi na dogo kazi aliiweza kweli.
Nilikua nachana misitu sehemu mbili tofauti hivyo ikanilazimu nipate mtu wa kunisaidia, Kitu kingine nilikua nimeshachoka sana maana nilikua porini miezi kama 9 pasipo kwenda mjini wala kuongea na watu wa mjiniπππ.
Nilipoanza kutoa mbao porini ndio nikamwambia dogo awe anaenda na gari kwa mtu ninayemuuzia ili awe anahesabia mbao reject(kuna mbao huwa zinavunjika wakati wa kumwaga) bhasi dogo ndio akaona fursa siku moja akamwambia yule dada boss amesema tufunge hesabu na Hela uweke kwenye hii account. Ndio nilipigwa kwa namna hiyo.
Watu hawana huruma uwiii πππΌMkuu hiki kidonda hakijapona vizuri πππ
Huyo dogo nilimsaka nikamkamatia Gomzi, amejaa mashavu na kitambi kimemtoka. Anachomiliki ni bodaboda tuuπ‘π‘π‘π
Kama sio Mungu ningekuwa segerea pale, maana nilitamani kumuua na ndicho nilikipanga akilini mwangu.
Katika milion 28.6 niliambulia milion 1.32 niliamua kusamehe tuu na kuanza upya.
Asante, namshukuru Mungu alinivusha salama na ndio lilikua somo la kutowaamini watu hovyo.Aisee pole π’
Ulipigwa parefu sana π
Hawa GenZ waache tuu, ukiwa serious sana unawaua.Watu hawana huruma uwiii πππΌ