Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.

Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.

Sasa hapa ni zaidi ya Ushindi, HUKUMU hii umeonyesha, Msajili wa VYAMA vya SIASA ambaye ni JAJI Kitaaluma, na Ofisi yake ikiwa imejaa wanaojiita wasomi wa Sheria, ni Muhuni na Ofisi imejaa wahuni!

Haiwezekan kabisa kabisa Ofisi ilojaa wasomi wa Sheria, washindwe kuyatambua Makosa yalifanyika , nao wakatia Baraka, hadi Leo JAJI aone maamuzi ya Wahuni wale wa NCCR pamoja na OFISI YA MSAJILI yalokua ni maamuzi ya Hovyo .

Unaweza pata picha hapa, KUNA MSAJILI KWELI AU MUHUNI MMOJA AFANYAYE KAZI KWA HISIA NA UBINAFSI WA TUMBO LAKE ??.
 
Nguvu nyingi zimeamishiwa Kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project -Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.

Na JAJI naye ( Sijui kwakua aliona Mama Tanzania Hana Athari Kwa Sasa, Sijui hawakumoa Presha, Sijui kafanya Kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake ).

Kampa Mshindi MBATIA.

Sasa hapa ni zaidi ya Ushindi , HUKUMU hii Umeonyesha, Msajili wa VYAMA vya SIASA ambaye ni JAJI Kitaaluma, na Ofisi yake ikiwa imejaa wanaojiita wasomi wa Sheria, ni Muhuni na Ofisi imejaa wahuni !!.

Haiwezekan kabisa kabisa Ofisi ilojaa wasomi wa Sheria, washindwe kuyatambua Makosa yalifanyika , nao wakatia Baraka, hadi Leo JAJI aone maamuzi ya Wahuni wale wa NCCR pamoja na OFISI YA MSAJILI yalokua ni maamuzi ya Hovyo .

Unaweza pata picha hapa, KUNA MSAJILI KWELI AU MUHUNI MMOJA AFANYAYE KAZI KWA HISIA NA UBINAFSI WA TUMBO LAKE ??.
Huyu mzee yuko above 70 lakini ni mhuni anavuta bangi, na anajipendekeza kwa CCM ili aendelee kubaki ofisini ilhali vijana wenye sifa za kitaaluma kukalia ofisi hiyo wako mitaani, wazee kama hawa ni hasara kabisa kwa taifa.
 
Ana mamlaka yule mzee na akikasirika Chadema inafutwa totally.
 
Hiyo ni nafasi ya mtu anayeamini kuwa elimu yake haina maana yoyote, yupo tayari kutumwa na hata mtu wa darasa la 7 kufanya uovu alimradi tumbo lijae.
 
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.

Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.

Sasa hapa ni zaidi ya Ushindi, HUKUMU hii umeonyesha, Msajili wa VYAMA vya SIASA ambaye ni JAJI Kitaaluma, na Ofisi yake ikiwa imejaa wanaojiita wasomi wa Sheria, ni Muhuni na Ofisi imejaa wahuni!

Haiwezekan kabisa kabisa Ofisi ilojaa wasomi wa Sheria, washindwe kuyatambua Makosa yalifanyika , nao wakatia Baraka, hadi Leo JAJI aone maamuzi ya Wahuni wale wa NCCR pamoja na OFISI YA MSAJILI yalokua ni maamuzi ya Hovyo .

Unaweza pata picha hapa, KUNA MSAJILI KWELI AU MUHUNI MMOJA AFANYAYE KAZI KWA HISIA NA UBINAFSI WA TUMBO LAKE ??.
Kwani ndo umejua leo
 
We unajulikana kwa upumbavu upuuzwe
 
Na kuna mamlaka ya mbinguni inaweza kumfuta yeye kwenye uso wa dunia.
Na mamlaka ya mbinguni sio tu kumfuta kwenye uso wa dunia. Itamfuta hata kwenye majina ya watakao nyakuliwa kwenda huko mbinguni na akatupiwa kwenye moto wa milele.
 
Naomba kuuliza. Je Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kukaa muda gani kwenye cheo hicho?. Huyu wa sasa ana muda gani kwenye hicho cheo?.
 
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.

Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.

Sasa hapa ni zaidi ya Ushindi, HUKUMU hii umeonyesha, Msajili wa VYAMA vya SIASA ambaye ni JAJI Kitaaluma, na Ofisi yake ikiwa imejaa wanaojiita wasomi wa Sheria, ni Muhuni na Ofisi imejaa wahuni!

Haiwezekan kabisa kabisa Ofisi ilojaa wasomi wa Sheria, washindwe kuyatambua Makosa yalifanyika , nao wakatia Baraka, hadi Leo JAJI aone maamuzi ya Wahuni wale wa NCCR pamoja na OFISI YA MSAJILI yalokua ni maamuzi ya Hovyo .

Unaweza pata picha hapa, KUNA MSAJILI KWELI AU MUHUNI MMOJA AFANYAYE KAZI KWA HISIA NA UBINAFSI WA TUMBO LAKE ??.
Hukumu imetolewa na nani?
 
Hujadadavua wengine hatujuwi kitu.
 
Back
Top Bottom