Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Wewe na Tlaatlaah ni mapacha? Lugha yenu ni ile ile moja; au tuseme mlikuwa shule moja kabla ya kuletwa humu JF kuweka takataka kama hizi ulizoweka hapa.

Utakuwa kichwa chako umejaza maji kama huoni kuwa tayari mnashughulikiwa!
Tanzania haiwezi kuendelea kuvurugwa na Genge dogo kabisa lililojiingiza ndani ya chama na kuitumia serikali kuwakandamiza waTanzania.
Msipochukuwa tahadhali mapema mtaondoka kwa aibu kubwa sana.
Hujui unachoongea.
 
Haya ni mambo ya kujitapa kwa actual ‘economic comparative advantage’ sio hadithi za watoto wa Kenya.

Ukubwa ni jalala, Tanzania tuna uwezo wa ku-choke Kenyan economy; kushinda wao wanavyoweza impact uchumi wetu.

Tofauti ni kwamba wananchi wao wanaishi lala land na kujiona bora sana; na Tanzania kama Kaka mkubwa tunakubali ukubwa jalala na kuvumilia matusi yao.

Hao generał Z wao wako entitled kuropoka huko kwao; ushasema watoto what can you do na wapo nje ya mipaka.

Tanzania haiwezi retaliate kwa hoja za watoto.
Ukiona mtu anatukana kupita kiasi jua kwamba keshachanganyikiwa.
 
GT.

Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule

Yote haya ni kumkamata Lissu
Hizo ni kelele za chura tu, by the way hakuna nchi inaongozwa gen z duniani kote
 
harafu inasaidia nini? uimtukana mtu unakuwa unajifurahisha mwenyewe
 
Siku anatoa amri yule dada wa Uganda abakwe alijisahau kuwa naye ni mwanamke? Wacha Gen Z wampige za uso hadi atie adabu na tena nilipenda moja wamemtengeneza anajikuna kama Zuchu, Ubaya Ubwela kudadeki🔥🔥

una uhakika kuwa yeye ndie alietoa amri abakwe?
 
Back
Top Bottom