TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,708
- 18,939
Ni kukosa adabu tuGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Ni kukosa adabu tuGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Utu wa nani sasaKwahiyo utu wake ni bora zaidi kuliko uhai wa watu wanaouawa?
Muwe mnawashauri kwanza wao kuepuka kujifanya miungu watu badala ya kukemea matokeo huku chanzo/mzizi wa tatizo mmeukaushia kama hamuuoni
GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Amesahu kulia aha ha ah
Hatari snaUkiingia Tik Tok ndiyo utachoka! Harafu ukijichanganya kumtetea Maza wanakushukia wewe.
Huyu nae Kenge tu...
Huyo ni jambazi mwenyewe, kama walivyo majambazi wengine. Kupoteza muda na kumtetea mtu ambaye anadiriki kusema "Kifo ni Kifo tu" kwa mtu aliyeuliwa kinyama na maiti yake kuharibiwa, huyo atakuwa ni mtu wa staha vipi huyo?Kumbe hajali kitu😁
Huyo mbuzi mmemwokota wapi tena.Huyu nae Kenge tu...
Link zake na watu WA kuwa follow kupata habari huko twitteNoma sana hawa watu hatuwawezi kwa kweli . Kuna picha za mikenge huko hadi aibu
Hilo halitawasaidia kitu chochote. Utawala wenu umekwisha kuwa nuksi. Umelaaniwa.Lissu ataendelea kukaa ndani na kesi yake itaendelea kusomwa kadri inavyotakiwa kusomwa hao watoto wadogo hawawezi kusumbua wasomi wenye kuelewa wanafanya nini duniani.
Wewe na Tlaatlaah ni mapacha? Lugha yenu ni ile ile moja; au tuseme mlikuwa shule moja kabla ya kuletwa humu JF kuweka takataka kama hizi ulizoweka hapa.Ukifanya usaliti mkubwa kiasi cha kutaka kuichafua amani ya nchi yenye watu milioni 64 jiandae kupokea kichapo kibaya ambacho hutakaa ukisahau mpaka siku ya kuaga dunia.
mpaka nmechekaNasikia hata WhatsApp yake imeingiliwa 😅
Muachieni Tundu Lissu, huu upepo sio wa kawaida ni Mungu tu.😁