Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,606
- 128,449
Umejiunga mwezi huu kisha unatuma duplicate post za kiwango hiki, ukiamaliza mwaka si hii server ya jf itakuwa imejaa?SAWA
Umejiunga mwezi huu kisha unatuma duplicate post za kiwango hiki, ukiamaliza mwaka si hii server ya jf itakuwa imejaa?SAWA
Kweli matusi ni silaha kali sana.Ila hawa Kenya ni hatari sana namba ya Msambatavangu wameipata wapi?
Kuna kitu leo kilikuwa hakiko sawa kwenye hii simu, nimeshalekebishaUmejiunga mwezi huu kisha unatuma duplicate post za kiwango hiki, ukiamaliza mwaka si hii server ya jf itakuwa imejaa?
Na you tube pia wapo wanchafua hao watoto ni hatariKweli matusi ni silaha kali sana.
Leo huyo mama kapoa anatia huruma tu.
Vpn 1111Ipi ni user friendly
Ukisikia Mama kautaka mama kautaka ndo hii sasaGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Siku anatoa amri yule dada wa Uganda abakwe alijisahau kuwa naye ni mwanamke? Wacha Gen Z wampige za uso hadi atie adabu na tena nilipenda moja wamemtengeneza anajikuna kama Zuchu, Ubaya Ubwela kudadeki🔥🔥Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
Lissu ataendelea kukaa ndani na kesi yake itaendelea kusomwa kadri inavyotakiwa kusomwa hao watoto wadogo hawawezi kusumbua wasomi wenye kuelewa wanafanya nini duniani.GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Aliyetoa amri ni mwanaume sio Rais SSH, amri ya kuwabaka na kuwalawiti ilitolewa pia na awamu ya JK na ya Mkapa pia.Siku anatoa amri yule dada wa Uganda abakwe alijisahau kuwa naye ni mwanamke? Wacha Gen Z wampige za uso hadi atie adabu na tena nilipenda moja wamemtengeneza anajikuna kama Zuchu, Ubaya Ubwela kudadeki🔥🔥
Sevar ndio nini mkuu?!Nawaomba Wakenya wadukue account ya Samia, ya ikulu nk nk ikiwezekana na sevar
Mkuu umewaza nini mbona maumbile?Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
Hebu ziwekeni hapa hizo Spana.Kule hali ya hewa imechafuka kila TL unayopita ni gumzo tu wajomba wametawala Gen Z ni spana tu mwanzo mwisho 😁🙌🏽
Watu tunaitwa mbwa, kenge(comodo dragon), mara washenziii oyaaa mengi yafichuka kelele zinazoendlea mle ni noma
Unailaumu Demokrasia? Maana yake kwako wewe ni jambo sahihi watu kukamatwa, kutekwa, kuteswa na kuuawa au kupotezwa?Sidhani kama ni muhimu kufuatilia maudhui yanayotweza utu wa mtu hata kama kuna jambo linalotatiza utu.
Demokrasia inaanza kuwa tatizo mojawapo ya matatizo yaliyoletwa na ukoloni mamboleo Afrika.
Ifike mahala tuishi kama ndugu na kupendana kwa dhati kama taifa na Afrika kwa ujumla ili kuleta mabadiliko ya fikra yenye kuleta mandeleo ya uchumi na kuondokana utegemezi.
Duh, wakina Luka wakitetea utekaji huiti upuuzi, sisi tunawashabikia Gen Z unaita upuuzi?acheni kushabikia upuuzi
Kwahiyo utu wake ni bora zaidi kuliko uhai wa watu wanaouawa?Sidhani kama ni muhimu kufuatilia maudhui yanayotweza utu wa mtu hata kama kuna jambo linalotatiza utu.
Demokrasia inaanza kuwa tatizo mojawapo ya matatizo yaliyoletwa na ukoloni mamboleo Afrika.
Ifike mahala tuishi kama ndugu na kupendana kwa dhati kama taifa na Afrika kwa ujumla ili kuleta mabadiliko ya fikra yenye kuleta mandeleo ya uchumi na kuondokana utegemezi.
Mbona rahisi tu?Yusaidieni tusiojua kuitumia