Pepe Madochi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 390
- 473
Watu tunaitwa mbwa, kenge(comodo dragon), mara washenziii oyaaa mengi yafichuka kelele zinazoendlea mle ni nomaNoma sana hawa watu hatuwawezi kwa kweli . Kuna picha za mikenge huko hadi aibu
Watu tunaitwa mbwa, kenge(comodo dragon), mara washenziii oyaaa mengi yafichuka kelele zinazoendlea mle ni nomaNoma sana hawa watu hatuwawezi kwa kweli . Kuna picha za mikenge huko hadi aibu
Teheeeeeeee eti comodo dragon wale kenge atari sana wanatema sumu sio poaWatu tunaitwa mbwa, kenge(comodo dragon), mara washenziii oyaaa mengi yafichuka kelele zinazoendlea mle ni noma
Wale sio poa anko edits zilizopo ni kuvalishwa sura ya comodo dragon tuTeheeeeeeee eti comodo dragon wale kenge atari sana wanatema sumu sio poa
Omondi jana katisha sanaYes ndo napitia huko.l kuangalia akina Erick Omondi
Jamaa wamechafua hali ya hewa kabisaGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Ujinga ni kuban twitter wakati sikh hizi reels zinasambaa network zote.GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
nenda play store download, easy!Yusaidieni tusiojua kuitumia
Ipi ni user friendlynenda play store download, easy!
Huko Twitter mnara haupandiGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Download Thunder, au Turbo, nakuwekea screenshot,.. waitIpi ni user friendly
ThanksDownload Thunder, au Turbo, nakuwekea screenshot,.. wait
Mara nyingi nimekuwa nikishauri humu kwamba Viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze kauli zao hawazingatiiKufanya mambo au kuongea habari bila kutafakari matokeo hasi yanayoweza kukutokea ni hatari sana kwa mustakabali wa utu wako.
Ipi ni user friendly
Salimia watuHuko Twitter mnara haupandi