Tuache kuuana, kutekana, kupotezana.Sidhani kama ni muhimu kufuatilia maudhui yanayotweza utu wa mtu hata kama kuna jambo linalotatiza utu.
Demokrasia inaanza kuwa tatizo mojawapo ya matatizo yaliyoletwa na ukoloni mamboleo Afrika.
Ifike mahala tuishi kama ndugu na kupendana kwa dhati kama taifa na Afrika kwa ujumla ili kuleta mabadiliko ya fikra yenye kuleta mandeleo ya uchumi na kuondokana utegemezi.