Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Wabunge wale waliotuita Kenge hawakuweza kuwazuia hawa GEN Z,kumdhalilisha mheshimiwa wetu?
Kuna mambo yanahitaji hekima siyo matumizi ya nguvu, rais wa Kenya amewaomba wa Tz msamaha na mama yetu naye awaombe msamaha ili haya mambo yaishe,No one is infallible under the sun and Power Comes and Goes but Humanity lives Forever, "Stop Abduction and Killing Of Innocent citizens In the name of Politics'
 
Kufanya mambo au kuongea habari bila kutafakari matokeo hasi yanayoweza kukutokea ni hatari sana kwa mustakabali wa utu wako.
..ikulu kwa mara ya kwanza ina watu wa hovyo kuliko nyakati zote, hakukuwa na haja kabisa kufanya vile mamlaka walifanya..mambo ya kuonyesha mabavu yalishapitwa na wakati kitambo, tunaishi kwenye dunia ya kistaarabu hasa kwa individuals, km serikali inataka kuonyesha mabavu pimana mabavu na serikali si mtu au watu..serikali kwa serikali, huhitaji kufundishwa mambo haya, yako wazi kabisa..ni ujinga kujigamba kuumiza watu..inakusaidia nini hasa..? Sasa hayo ndio matokeo ya ku-invite kudharauliwa na kutukanwa.. na huwezi kuwafanya lolote, hao uliowaumiza hata tusi moja hawakutoa, sasa unakabiliana na matusi na huwezi kuwafanya lolote!
 
Back
Top Bottom