jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 581
- 3,462
Poa, tayari nimekuwekea screenshot hapo juu..Thanks
Poa, tayari nimekuwekea screenshot hapo juu..Thanks
Barikiwa sanaPoa, tayari nimekuwekea screenshot hapo juu..
Hawana kaziGen Z hawataki masihara ukiropoka tu wameshuka na wewe
Vita ni vita!Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
Hukuwahi kusikia mazungumzo yake kuhusu maziwa ya wacheza mpira wa miguu wanawake?Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
SAWA
SAWA
SAWA
SAWA
SAWA
Uza hiyo simu utafute simujanja kijana.SAWA
Achana na VPN, kuitumia ni uhalifu🐼Yusaidieni tusiojua kuitumia
UVCCM wamemezwa ile mbaya......... Sisi wapenda haki acha tushuhudie jinsi wanavyovurugana🤣Na bado mpambano unaendelea. Mpaka kieleweke
Asante kesho nabadilishaUza hiyo simu utafute simujanja kijana.
Vizuri kabisa, ukitaka makava ya simu, chaja za bukubuku na earphone za mafungu mcheki Poor BrainAsante kesho nabadilisha
Ni mshenzi acha adhalilishwe maana mama zetu hawawezi kuua wala kufuga magenge ya wanaume wahalifu kuua wenzao. Sio mama wa hii nchi hata kidogo ni muhalifu asiyestahili heshima hata kidogo.Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
Mkuu hapo umenena kabisa anichek nipo hapaVizuri kabisa, ukitaka makava ya simu, chaja za bukubuku na earphone za mafungu mcheki Poor Brain
Depression, poverty level, njaa na ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana kwa Gen Z hasa hapo upande wa Isbenia, Shirati, Sirari, Horohoro, Kibera nkGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Sio WhatsApp tuu....Nasikia hata WhatsApp yake imeingiliwa 😅
Muachieni Tundu Lissu huu upepo sio wa kawaida ni Mungu tu.😁
Ni kweli wamezuia mkuu daah nilidhani utani aisee..Serikali watazuia twitter Hadi lini
Tumia VPN mkuuNi kweli wamezuia mkuu daah nilidhani utani aisee..
Usiwachagulie silaha watu walio vitani mzeeNaomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono