Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,278
- 37,073
situmii hiyo kitu na sijui kuitumia. Na ikiwa ni kitu cha wazi, nadhani ikiwa kinaweza kukusaidia unaweza kukitumia tu gentleman,Sawa pia mkuu punguza matumizi ya chartgpt.
Ila kwangu mimi,
ninafanya haya yote kwa Neema na Baraka za Mungu tu, gentleman sina cha kujivunia zaidi ya hilo humu jukwaani na nje ya jukwaa 🐒