Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

Chura kiziwi akiona hii coment yako atakudharau sana
hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.

In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
 
Maeneo mengi nchini ni kama mwaka mpya kwani maduka yamefungwa watu wengi wameitikia wito wa maandamano kwa staili ya kipekee sana na ni pigo kubwa sana kwa serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi.
Ruksa kujifariji,bila kuchezea zile shaba oktoba,kupigwa lockdown na kuzimwa internet,mngeichezea serikali sharubu sana,leo hakuna mwenye hamu ya kutoa tumbo
 
Kuwa mkweli chief, 7/7 haina watu.....nilikuwepo Jana watu walikuwa wengi wa kutosha, leo nipo hapa hakuna watu, kama Mtanzania nasikitika maana naona Taifa linaangamia kwa porojo za viongozi..........tuache hizi propaganda, tumeshadanganya sana hatujafanikiwa lolote, tujaribuni kusema ukweli labda utabadilisha mwelekeo wa Taifa letu.
Ukweli utawang'oa madarakani. HAWAUTAKI
 
hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.

In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu siku nikiwa na akili kama hizi naomba mniuwe
 
haupo 7/7 wewe
mvua inanyesha
na sio kuna dalili
hakuna mahali nimeeleza kuna dalili ndugu mdau,
kwa ujumla,
hali ya hewa kwa jiji la Dar Es Salaam na eneo lote la ukanda wa pwani, kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale, na huo sio muujiza ndio hali halisi ya hali ya hewa kwa siku ya leo.

hata hivyo,
licha ya hali hiyo mamia kwa maelfu ya wananchi na wakaazi wa jiji la Dar Es Salaam wameendelea kujitokeza, kuingia na kutoka kwenye viwanja vya maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba kwa wingi na kwa amani zaidi kama ilivyokua tangu siku ya ufunguzi wa maonyesho hayo June 28,2026.

Naendelea kutoa wito na kusisitiza wakaazi wa dar es salaam, mikoa jirani na waTanzania wote kwa ujumla, kuendelea kuja kwa wingi na kushuhudia, kujifunza na kujipatia huduma na mahitaji yao mbalimbali kwenye maonyesho hayo.

Hali ya kiusalama ni ya uhakika licha ya kuwepo na propaganda za hila zilizoanzishwa na chadema kupitia vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliomo humu nchini.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
In fact hata ninavyoreply comment yako niko viwanjani, umauti wa wananchi wanaoingia na kutoka kwenye maonyesho ni mkubwa pengine kuliko hata wakati uliopita licha ya kua kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale.

halafu kupo shwari sana,
na utaratibu wa kuingia na kutoka umerahisishwa na kuboreshwa sana.

Nadhani bila unafiki na propaganda za vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi,
Tuwe wakweli tu,
maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba kwa mwaka 2026 yamefanikiwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote 🐒
Dah we Jamaa itabidi ulipwe vizur sana kuliko Zack 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom