Huko kwenye viwanja vya Saba Saba hali ikoje?

hali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.

In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
Screenshot_20260627-114209~2.png
 
Weka hata kapicha semaji la WACHAWI itapendezaaaaa
 
Serikali imejiweka kwenye mtego mbaya kabisa.
Maana kwa sasa maandamano yakitangazwa tu askari watasambaa kama hivi Leo.
Maana yake hata askari wenyewe wanaweza wakaanzisha matangazo ya maandamano kwenye mitandao ili wapate posho au shughuli ya kufanya.
Na Serikali lazima iweke maaskari kila matangazo ya aina hiyo yakifanyika na biashara lazima zifungwe hiyo wiki kwa kuogopa kuwa inaweza kuwa kweli wakaandamana.

Kwa hiyo,makundi yote yanayonufaika na maandamano au vitisho vyake kama vile akina Shehe Mwaipopo,Askari wa aina zote nk watakuwa wanahamasisha maandamano kila wakijisikia ili wanufaike bila kutumia gharama kubwa.
 
😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu siku nikiwa na akili kama hizi naomba mniuwe

Kama ujioni unafaaa kuwepo kwanini utusumbue ndugu zako!!!

Umekuja mwenyewe utaondoka mwenyewe🤣

kutupunguzia mzigo nenda Mwendo kasi kang.oe mabati uku ukisema Pipoooozz power watakusaidia uwendapo sekunde nyingi!!!!

Ujikute mawinguni

Kuunga mkono Chadema ni zaidi ya Uzombi kama ungejielewa!

Sasa viongozi wako wakuu ni awa kweli 👇👇🤣🤣
 
Attachments

  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 5

Kweli wajinga ni wengi, hujui hata nimeandika nini wewe unakuja na ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema. Nimesema siku nikiwa na akili kama za Tlaatlaah ndugu zangu waniuwe. Sasa wewe unakuja na stori za mwendokasi na viongozi wa Cdm. Unajielewa kweli?
 
,
unatafuta kiki jukwaani kwa mgongo wa jina langu sio gentleman?🐒
 
Kweli wajinga ni wengi, hujui hata nimeandika nini wewe unakuja na ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema. Nimesema siku nikiwa na akili kama za Tlaatlaah ndugu zangu waniuwe. Sasa wewe unakuja na stori za mwendokasi na viongozi wa Cdm. Unajielewa kweli?

Nilikuelewa vizuri %100 nilichokujibu kinasimama ivyoivyo!! Tena niliwaza kama ww kuwa uyu ndugu anaweza kudhani sikumwelewa🤣

lkn nimekuelewa kabla sijakujibu✍️
 
Kama ww upo tayali kuongozwa na kina SUGU au Yai kwa akili izi kwenye nywele❗️

Embu waza Mtoto wa SUGU Au Yai kakosea uko Shuleni kwake!!

Mwalimu mkuu akaona amwitwe mzazi wake uyo Mtoto!!!

Mmoja wapo kafika Shuleni kutaka kujua matatizo ya mwanae 🤠

ww kama Mwalimu mkuu utapata picha gani apo!!!

Wazazi 👇👇👇 aibu utaona ww🤠
 
Attachments

  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 5
  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 5
  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 5
Nilikuelewa vizuri %100 nilichokujibu kinasimama ivyoivyo!! Tena niliwaza kama ww kuwa uyu ndugu anaweza kudhani sikumwelewa🤣

lkn nimekuelewa kabla sijakujibu✍️
Ok, sasa ishu za mwendokasi na viongozi wakuu wa Chedema zinahusiana vp na comment yangu?
 
Back
Top Bottom